Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Shida ya hawa watu wanatufanya sisi wajinga. Ni bora wangenyamaza tu lipite.Ishakuwa issue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ya hawa watu wanatufanya sisi wajinga. Ni bora wangenyamaza tu lipite.Ishakuwa issue
Wale wanaokula hadharani ndio wajinga, sasa watasota magerezani, yanini kubishana na wafia dini? Wale wanaweza kukuua wakapate wanawake peponi.nchi ya wajinga
Kwenye uislamu ni lazima ufuate dini.✍️🧠Linapokuja swala la kulazimisha mtu afuate unachokiamini ktk imani, inamaanisha hakuna maana ya kungoja hiyo hukumu unayo ihubiri kwa watu ktk kuingoja, mana tayari umeshaanza kuitoa wewe na sio Mungu kama unavyohubiri watu
kwa Mungu kuna pande mbili tu,
1.kumkubali/kumkiri
2.Au kumkataaa
Yeye hana Neutral
Basi kwa upendo wake ake akakupa uhuru wa kuchagua, Maana kila ulitendalo ni matokeo ya ulichokiwaza/kukifikiri,
Angelikuwa na hasira kama hizo walizoonyesha police, hapa duniani pasingekuwapo na mtu.
Wapendwa tupendane mwenye maamuzi ya mwisho ni Mungu mwenyewe 🙏🙏 ❤️🇹🇿



Mpendwa dini gani inamlazimisha mtu kutii mafundisho au maagizo yake, dini inakufundisha kutii mafundisho juu imani hiyo, Maana yake unaweza ukayafanyia kazi au usiyafanyie kazi utakayofundishwaKwenye uislamu ni lazima ufuate dini.
Dini inayomlazimisha mtu kutii mafundisho ni Uislamu.Mpendwa dini gani inamlazimisha mtu kutii mafundisho au maagizo yake, dini inakufundisha kutii mafundisho juu imani hiyo, Maana yake unaweza ukayafanyia kazi au usiyafanyie kazi utakayofundishwa
Ingekuwa ni lazima watu wengi hadi sasa wangekuwa hawana dini Maana imani hailazimishwi, hilo ni swala la Mtu yeye na maamuzi yake. Maandiko yanaasema enendeni mkawafundishe au mkawahubiri sio mkawalazimishe, hapo ni kama darasani, kunawatakao elewa na ambae hawataelewa
Afukuzwe kazi akili hanaKamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video iliowaonesha Watu wakivuta bangi mchana maeneo ya Maisara Zanzibar.
CP Hamad ametoa ufafanuzi huo kufuatia operesheni iliofanyika Mkoa wa Mjini na kuwakamata Watu waliodaiwa kula mchana wa Ramadhan “Hakuna sheri inayokataza Watu wasile mchana wa Ramadhani, nilitoa maelekezo baada ya video ya wanaovuta bangi kwamba ifanyike oparesheni wale wavuta bangi kwasababu bangi ni kosa la jinai hakuna sheria inayoruhusu Watu kuvuta bangi ila hatukuwakamata wala mchana”
“Shida iliyojitokeza operesheni hii ilikamata waliomo na wasiokuwemo, wavuta bangi na waliokula hadharani, Mampaka nyingine za Kiserikali huwa zinafanya oparesheni hiyo ya wanaokula mchana na wajibu wetu ni kusimamia ili ili zifanyike kwa salama na amani.”
Mi silijui hilo,mbona ktk mafundisho yao hawatumi neno ni lazima Ila "Nawasihi ndugu zangu waislam" 😊Dini inayomlazimisha mtu kutii mafundisho ni Uislamu.
Kwani wewe unakaa wapi hadi usilijue hili?
Uislamu unafundisha kwamba, wasiofuata mafundisho ya Quran na hadithi za mtume ni makafiri na wanatakiwa kuuawa.
😅🤣🤣🤣🤣KWA USHHIDI WA VIDEO:
Wiki iliyopita Watu 12 walikamatwa na polisi Zanzibar kwa kula hadharani mchana Zanzibar
View attachment 2951882
Leo hii waliokamatwa wakila wamepewa kesi ya kukutwa wakivuta bangi hadharani
View attachment 2951884