Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

mkuu, huyo mtu wenu mnayemwita Tumaini Makene ni hovyoo kabisa.
yaani bado nusu saa mkutano kufika mwisho watu tuna hamu kumsikiliza na kumtazama Lissu akihutubia lakini hakuna livestream link yoyote kweli? kweli? this is serious sana aisee!!
cheki chama kidogo tu cha CHAUMA kiko online uzinduzi wake.Chadema iko hoi ilikuwa tu inabebwa na UKAWA

 
Hii ndiyo Mbeya hapo ni njiani Mbalizi akielekea kwenye mkutano wa leo
Your browser is not able to display this video.
 
Hivi CCM si raisi huwa ana term 2 jamani? Ama nakosea.
 
Lissu anasubiri kuapishwa tu
 
video
 

Attachments

  • Kinachoendelea Mbeya mjini mda huu._muscle_ ( 750 X 750 ).mp4
    6 MB
cheki chama kidogo tu cha CHAUMA kiko online uzinduzi wake.Chadema iko hoi ilikuwa tu inabebwa na UKAWA

huwezi kuidharau Chadema kwa kukiita chama hoi wakati tayari kinamtia jambajamba mgombea urais wa CCM hadi alipofika Singida kwa Tundu Lissu akaomba poo kwa kutuma "love letter ya kakazi kadogo". leo huko Musoma tumesikia anamlazimisha bibi yetu Maria amfagilie jukwaani - bibi kamuumbua mchana kweupe!

true, hii kukosa livestream is wrong for a big party like Chadema but ni minor hiccup tu ambayo ni easily recoverable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…