Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Aisee huyu Lissu anajaza nyomi, nipo hapa viwanja vya CCM watu wamejaa. Wanaosema Chadema imepoteza mvuto Mbeya wanajidanganya
 
Mbona kama lowassa
 
[QUOTE="Saharavoice, post: 36589720, member: 529


Ndoto za mchana bila tathmini ni ndoto zisizo na matumaini.

Hapo Mbeya Tulia atashinda asubuhi, wapiga kura wako home na wengine wanendelea na shughuli zao. Maamuzi wlishafanya zamani sana. Tukutane October 28
[/QUOTE]
Vipi mhehamsha goli...sio wingi wa watu Tena
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vipi mhehamsha goli...sio wingi wa watu Tena
[emoji23][emoji23][emoji23][/QUOTE]Wacha kutufanya watu wenye akili zao kama mazwazwa wewe, Tulia ashatulizwa na sasa hivi ashajikatia tamaa anajiandaa kwenda kwenye jimbo lake la magogoni.

Mbeya ina wenyewe na wenyewe ni wana mbeya sisi kama sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama ametuvua nguo mchana kweupe, ila tunamuombe uzima , hasije akafanyiwa alichofanyiwa Mzee Mangula, maana ccm kwa kuwekeana sumu hawajambo.
Wakifanya hivyo kwa huyo mama watakuwa wamechokoza nyuki kwenye mzinga wao tena wakati wa jua kali.

Ile neno kisiwa cha amani watalitafuta kwa tochi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu usisahau kuzungumzia na URAIA huyu mzalendo uchwara tumechoshwa kila mtanzania akikosoa anaambiwa athibitishe uraia wake
 
Lissu anasema amepata taarifa za kutoka kwa watu wa usalama wa Taifa wanaompenda kuwa hiyo ndege anayotembea nayo itatengenezewa ajari.
Anasema jeshi lake ni wananchi na si vyombo vya usalama, hii nchi itaeaka moto ambao hautazimika. Namnukuu "Rais Magufuli tusitishane"
 
Mbeyaaaa.....!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Lissu usisahau kuzungumzia na URAIA huyu mzalendo uchwara tumechoshwa kila mtanzania akikosoa anaambiwa athibitishe uraia wake
Kawaongelea kina Kakobe walivyosumbuliwa na uhamiaji na wengine waliofunguliwa kesi na sasa wameunga juhudi.
 
Prof Baregu, aliahamia chama gani kwa wanaojua, simsikii ACT, CHAUMA CDM, CCM TLP , NCCR wala JAHAZI. Yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…