Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Nimeamini huu ni mpango wa Mungu, hii ni "replica" ya mpambano kati ya Mfalme Sauli na Daudi mtumishi mwema wa Mungu. Kongole nyingi sana kwa Tundu Lissu, kwa kuwa huyu ndiye Daudi wa nyakati zetu, na ni kwa hakika Mungu yu upande wake.
 
Pisha Pisha Rais anapita Pisha Pisha Rais Anapita Anapita kwenye Barbara anazoziponda kwamba Sio maendeleo ya Watu Anaponda Nchi haina Amani na Uhuru Halafu mnasema barabara zimefungwa Leo ili mashabiki wake wapate wasaa Wa kumwona mnatakA Uhuru na amani IPI zaidi ya hiziii Muulizeni BESIGE HUKO UGANDA KUWA ANACHOPEWA TUNDU LISSU YE ANAKIPATA
 
nimekudharau sana !
 
Hata mkitumia lugha za matusi lakini mwaka huu hamuambulii hata mbunge mmoja
Nimemsikiliza JPM akiwa Rorya amemtaja Ezekiel Wenje mara 4 akimuombea kura, akamuita Ezekiel atoke mbele [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ndo akashtuliwa mgombea wa CCM ni Jafari.

Nadhani kuna hitilafu mahali maana huku kuyumba kwa dishi sio kwa kawaida, na bado hizo ni spana za Lissu za week moja tu, ikifika week ya pili Mzee wenu atawataja aliowatuma wakamshambulie Tundu Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…