Karibu Sana
JF-Expert Member
- Mar 14, 2020
- 991
- 1,765
Viva magufuli Viva CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaMungu wa Tundu Lissu ndiye Mungu wa watz wote.... Full stop
kuna wakati ukifika pataitajika kuweka ukumbusho wa wa mh mbowe, huyu bwana kwanza ana pesa but all in all analipigania taifa usiku na mchana , huyu ni mtu ambae hata ungemlipa bil 10 kwa mwezi bado hazimtoshi , mungu kumbaliki ndo zawadi tosha kwake nami nasema imekua kwa mh mbowe, na uongozi mzima wachadema , asema bwana anawapenda sana ,na yu pamoja nanyi sasa hata siku sijazo , barikiwa
mkuu niliwai sema hum kwamba mgombea mwenza ,mh salum yuko vizuri mwanzo wakati ameteuliw but wapo waliobeza so naludia hii combination ya dam changa mwaka huu inaenda fanya mahajabuHuyu kijana ana uwezo mkubwa sana wa kucheza na maneno kama walivyo wanasiasa wengi tokea Zanzibar
mkuu mh lissu nimemtafakari leo yuko makini sana wakati anafungua tawi pale nzovye alikuta kidogo jina lake limekosewa, he.. , kwanza akauliza nani ameandika jina lake hivi kiutani theni akamuita ndugu flan wapige picha nafikili labda ndo kiongozi wa tawi husika maana hii ni miji ya watu, na akawambia warekebishe badae jina, ila kingine nimegundu usalama wa chama kwa mgombea wao ni wa juu mno , maana, basi tu ngoja niihie hapa, but mh mbowe nafikili ni zaidi ya afisa kipenyo mzoefu sana thats may be system inapata ugum sana na huyu mwambanimekudharau sana !
TBC haiwezi kubadilika maana watangazaji wanaogopa maagizo toka juu kama ukoma kwani hata leo kule Mbagala na Manzese sauti ilikuwa inakatwa kila wasemaji wakuu walipoanza kuzungumzia kuhusu Serikali, Rais, Polisi au CCM.Waliwafukuza TBC kwenye mikutano yao.
Hoja kwamba haivipewi coverage inakosa nguvu kwa sasa. TBC leo wameonyesha mikutano ya vyama vyote vilivyokuwa na mikutano yao mubashara. Nimemuona Rungwe, Mbatia wakinadi sera zao.
Uhuru wa habari ambao CHADEMA wanaulilia huku wakibania vyombo vya habari kutangaza habari zao ni kiini macho
Lisu ni matured na civilizedHatutaki tena mfumo ibilisi ccm......
Tunataka Tundu Lissu atuongozeee...
Kuiteketeza ccm nchi nzima inahitajika wiki 1 tuTuliwaonya sana ccm juu ya katazo lao la kuzuia upinzani kufanya siasa hawakutaka kusikia nadhan majibu wanayapata.Wao hawana jipya yote wanayowaambia wananchi ni marudio ya siasa zao kwa miaka 5 huku upinzani wakizuiwa,Leo wananchi wanataka kusikia mapya toka upinzani, wananchi walinyimwa nafasi ya kutema sumu zao.Leo ccm bila wasanii atabaki polepole pekee jukwaani watu wanafata muziki.
Chama mfu Ni kile kinachobebwa na dola badala ya hoja.Kuiteketeza ccm nchi nzima inahitajika wiki 1 tu
Hakuna mwenye akili atakayekubali matusi na hoja za machafuko ziruke hewaniTBC haiwezi kubadilika maana watangazaji wanaogopa maagizo toka juu kama ukoma kwani hata leo kule Mbagala na Manzese sauti ilikuwa inakatwa kila wasemaji wakuu walipoanza kuzungumzia kuhusu Serikali, Rais, Polisi au CCM.
Siwezi kutukana jukwaaniweak tusi hata moja alilotukana lissu
Well said mkuu..... Huu ndio ukweliLisu ni matured na civilized
🙏🙏
Ccm ni laana ya taifa haki HUINUA TAIFA ccm wanaangamiza haki ni chama cha kishetanimungu wa Lisu kamtuma kutukana na kunena uongo ndo awe Mungu wa Watanzania?
Shetani anacheza karata Chadema
Hahaaa..Hii ndio yenyeweView attachment 1559397