Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

komwe alitokwa povu hataki siasa mpaka mwaka wa uchaguzi watu wakamuachia na HAJAFANYA LOLOTE saivi anajuta.
 
kuna wakati ukifika pataitajika kuweka ukumbusho wa wa mh mbowe, huyu bwana kwanza ana pesa but all in all analipigania taifa usiku na mchana , huyu ni mtu ambae hata ungemlipa bil 10 kwa mwezi bado hazimtoshi , mungu kumbaliki ndo zawadi tosha kwake nami nasema imekua kwa mh mbowe, na uongozi mzima wachadema , asema bwana anawapenda sana ,na yu pamoja nanyi sasa hata siku sijazo , barikiwa
 
Huyu kijana ana uwezo mkubwa sana wa kucheza na maneno kama walivyo wanasiasa wengi tokea Zanzibar
mkuu niliwai sema hum kwamba mgombea mwenza ,mh salum yuko vizuri mwanzo wakati ameteuliw but wapo waliobeza so naludia hii combination ya dam changa mwaka huu inaenda fanya mahajabu
 
nimekudharau sana !
mkuu mh lissu nimemtafakari leo yuko makini sana wakati anafungua tawi pale nzovye alikuta kidogo jina lake limekosewa, he.. , kwanza akauliza nani ameandika jina lake hivi kiutani theni akamuita ndugu flan wapige picha nafikili labda ndo kiongozi wa tawi husika maana hii ni miji ya watu, na akawambia warekebishe badae jina, ila kingine nimegundu usalama wa chama kwa mgombea wao ni wa juu mno , maana, basi tu ngoja niihie hapa, but mh mbowe nafikili ni zaidi ya afisa kipenyo mzoefu sana thats may be system inapata ugum sana na huyu mwamba
 
Waliwafukuza TBC kwenye mikutano yao.

Hoja kwamba haivipewi coverage inakosa nguvu kwa sasa. TBC leo wameonyesha mikutano ya vyama vyote vilivyokuwa na mikutano yao mubashara. Nimemuona Rungwe, Mbatia wakinadi sera zao.

Uhuru wa habari ambao CHADEMA wanaulilia huku wakibania vyombo vya habari kutangaza habari zao ni kiini macho
TBC haiwezi kubadilika maana watangazaji wanaogopa maagizo toka juu kama ukoma kwani hata leo kule Mbagala na Manzese sauti ilikuwa inakatwa kila wasemaji wakuu walipoanza kuzungumzia kuhusu Serikali, Rais, Polisi au CCM.
 
Tuliwaonya sana ccm juu ya katazo lao la kuzuia upinzani kufanya siasa hawakutaka kusikia nadhan majibu wanayapata.Wao hawana jipya yote wanayowaambia wananchi ni marudio ya siasa zao kwa miaka 5 huku upinzani wakizuiwa,Leo wananchi wanataka kusikia mapya toka upinzani, wananchi walinyimwa nafasi ya kutema sumu zao.Leo ccm bila wasanii atabaki polepole pekee jukwaani watu wanafata muziki.
 
Kuiteketeza ccm nchi nzima inahitajika wiki 1 tu
 
Tofauti ni ukubwa Wa usafiri.
CCM wanatumia mabasi, Chadema wanatumia pick up
Wambie zoa zoa wa Fuso wana hamisha watu kutoka kanda moja kwenda kanda nyingine
hata chadema wamefanya hivyo, ule mkutano umejumuisha kanda ya Nyasa. Kwa hiyo ni 60% pekee kwa makadirio ndiyo wanatoka Mbeya mjini. IMG-20200905-WA0014.jpg
 
Attachments

  • IMG-20200905-WA0014.jpg
    IMG-20200905-WA0014.jpg
    20 KB · Views: 1
TBC haiwezi kubadilika maana watangazaji wanaogopa maagizo toka juu kama ukoma kwani hata leo kule Mbagala na Manzese sauti ilikuwa inakatwa kila wasemaji wakuu walipoanza kuzungumzia kuhusu Serikali, Rais, Polisi au CCM.
Hakuna mwenye akili atakayekubali matusi na hoja za machafuko ziruke hewani
 
Mbeya inafahamika tangu siku za nyuma ni kambi ya chadema hata hao wanao mdanganya tulia , wanataka tu kula ela zake. Ni bora angeenda Rungwe kwao. Watu wa mbeya ni kama tu watu wa Dar tu huwa hawaaminiki kwa ccm
 
mungu wa Lisu kamtuma kutukana na kunena uongo ndo awe Mungu wa Watanzania?

Shetani anacheza karata Chadema
Ccm ni laana ya taifa haki HUINUA TAIFA ccm wanaangamiza haki ni chama cha kishetani
 
Back
Top Bottom