Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Akitoka mbeya aende tunduma, mbeya vijijini, mbarari, rungwe kote huko atembee
 
Rais mtarajiwa wa Mioyo ya CDM na siyo Rwis mtarajiwa JMT.
 
Reactions: nao
Mwaka 2015 huu ndio uliluwa umati pale Mbeya mjini ngoja tuone leo Lisu atapata idadi gani maana anajifanya yeye ni zaidi ya Lowasa

View attachment 1559263
Nyie mbwa mlisema akienda Mwanza hatapata hata mtu mmoja.... Haya kavunja rekodi zote kwa umati wa maelfu kwa maelfu.......
Acheni kujitoa ufahamu
 
Lazima aapishwe tu bwana yule ameshakiri hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…