Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Huwezi kulaumiwa, matumaini yanaongeza maisha!! Hapo ukizingatia na dawa, mwaka utaumaliza na mchakato wa transition of power utauona!
Ndoto za mchana bila tathmini ni ndoto zisizo na matumaini.

Hapo Mbeya Tulia atashinda asubuhi, wapiga kura wako home na wengine wanendelea na shughuli zao. Maamuzi wlishafanya zamani sana. Tukutane October 28
 
Na wengine wanaangalia Simba na Ihefu?!😅 Kumbuka kusali pia, stress na kupanic siyo mambo mazuri kwa afya!
 
Hapa Tabata Dar es salaam Leo ambapo uzinduzi wa CHADEMA ulidoda .Cheki CCM

Hata hujui kama ligi inaanza kesho. Mbeya hawataki tena porojo za majukwaani, wanataka maendeleo safari hii.

Safari mmeletewa kisiki Tulia. Sugu kesha panic tayari
 
Wewe ndo huyo MC? Kila mahali upon vizuri, bonge la Toto! Hata kama kichwani kuna mapungufu, nashauri wadau tumkubali dada yetu Yehodaya, kama alivyo!
 
Hata hujui kama ligi inaanza kesho. Mbeya hawataki tena porojo za majukwaani, wanataka maendeleo safari hii.

Safari mmeletewa kisiki Tulia. Sugu kesha panic tayari
Kumbe ligi ni kesho? Nashukuru kwa kunielewesha! Ila si unamkosea dada yetu kumwita kisiki, labda fito, si ungekua unakaribiana na uhalisia, kama ni lugha ya picha unatumia?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…