ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hebu angalieni video mapokezi ya Lisu mfano tu mwanza, utasema ile ni edit? Mapokezi ya Maalim seif Zanzibar zile ni edit?CHADEMA wanaedit picha. Hakuna ukweli wowote ndo maana hawataki media zirushe mikutano yao live
Chadema waki edit picha wewe unapungukiwa nini ?CHADEMA wanaedit picha. Hakuna ukweli wowote ndo maana hawataki media zirushe mikutano yao live
Mkuu drone wanataka ulipie dolari 100 kila mkoa utakaoendaTunataka picha za angle ya juu, picha za drone.[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo wamenikera sana, nahisi wanamuhujumu Mgombea. Haiwezekani hotuba muhimu kama ya leo watu hatutoiskiliza ni upumbavu wa hali ya juu ma makosa ya kimkakati kbs. Shame on them.Hawa jamaa kwenye Mambo ya Mubashara wako hoi kabisa!!
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Chadema mnafeli sana kwenye coverage ya media kiukweli leo nimekwazika sana, nimetafuta kila sehemu ili niweze kumsikilliza Lissu lkn wapi. Nahisi mnamhujumu huyu mgombea wenu makusudi.Naomba Link
Baba kipara, umepanic au unafoka foka?!Ukilificha pengo kwa kutabasamu kicheko kikija litaonekana pengo lao ni oct 28 hawana ujanja paka vimburu wezi wa mboga vyunguni!
Cdm haina haja ya kufanya kampeini kwa msaada wa bongo fleva yaani wazee wa ma freemasonryHuu ni uchokozi, huu Uzi ni Wa chadema.
Hizi ndo huwa tunaita figisu🤔?Mkuu drone wanataka ulipie dolari 100 kila mkoa utakaoenda
Jiwe leo kashindwa kufanya mkutano wake mpaka mwisho baada ya kupenyezewa yanayo tokea mbeya.Mbeya ni kufuruuuu yaaani haijawahi tokea
Chadema mna edit picha kwa faida ya nani ?Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naanza na kuomba radhi kwa usumbufu wetu wa habari zetu za kampeni zinazomiminika kama mvua za masika , hatuna jinsi ni lazima tuhakikishe nchi inakombolewa .
Taarifa ya leo inaonyesha kwamba Mgombea wa Chadema anayepewa nafasi kubwa ya kushinda Urais wa Tanzania Mh Lissu atakuwepo Viwanja vya Ruanda Nzovwe , ambapo atazindua kampeni za kanda hiyo , lakini kubwa zaidi ni kuwataja hadharani viongozi wote wanaohujumu uchaguzi huu na ahadi walizopewa na hata hela walizolipwa .
View attachment 1559139
UPDATES
========
View attachment 1559436
Video : Mapokezi yake mazito yasababisha barabara kuanza kupata nyufa , jionee mwenyeweView attachment 1559596View attachment 1559597View attachment 1559598View attachment 1559599View attachment 1559600
Usijiaminishe hivyo mkuu😲😲Hii ndio tafsiri ya nguvu ya Umma
Huyo Tulia inabid aendelee kutuliaView attachment 1559614
Tulia sasa hivi atakuwa kwenye milima ya umalila akitafuta uchawiHii ndio tafsiri ya nguvu ya Umma
Huyo Tulia inabid aendelee kutuliaView attachment 1559614
freedom is comming tommorowWakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naanza na kuomba radhi kwa usumbufu wetu wa habari zetu za kampeni zinazomiminika kama mvua za masika , hatuna jinsi ni lazima tuhakikishe nchi inakombolewa .
Taarifa ya leo inaonyesha kwamba Mgombea wa Chadema anayepewa nafasi kubwa ya kushinda Urais wa Tanzania Mh Lissu atakuwepo Viwanja vya Ruanda Nzovwe , ambapo atazindua kampeni za kanda hiyo , lakini kubwa zaidi ni kuwataja hadharani viongozi wote wanaohujumu uchaguzi huu na ahadi walizopewa na hata hela walizolipwa .
View attachment 1559139
UPDATES
========
View attachment 1559436
Video : Mapokezi yake mazito yasababisha barabara kuanza kupata nyufa , jionee mwenyeweView attachment 1559596View attachment 1559597View attachment 1559598View attachment 1559599View attachment 1559600
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] jiwe anatapatapa kashajua hatoboi hata kwa dawaJiwe leo kashindwa kufanya mkutano wake mpaka mwisho baada ya kupenyezewa yanayo tokea mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna picha iliyo fanyiwa edditing hapo tulia na jipe moyo wa uvumilivuChadema mna edit picha kwa faida ya nani ?
Ndo hivo mkuu, yaani hawa jamaa wahuni sanaHizi ndo huwa tunaita figisu[emoji848]?