mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Kwa hiyo kamanda unagombania ubunge na darasa la saba wa CCM, ila Dr Mwakyembe ana dharau sana 🤣 .Shukrani kwa kuitambua nguvu ya Chadema Kyela
Poaaa kamanda tuweke link basi baadae tusikilize point za Prof Lema na tuone mabakuli.Ni ufinyo wa kufikiri kwa Sasa kuongelea hoja za kujaza watu kwenye mikutano Kama agenda, watu wengi hawaendi kwenye mikutano ya siasa na bado niwapiga kura wazuri tu, kikubwa kwa Sasa watu wanatumia njia za mawasiliano kujua agenda za mkutano, mikutano inayoweza kushabikiwa kwa kujaza watu ni mikutano ya kidini, miziki, mipira kwasababu wanaohudhuria ni vijana kwa wingi kuliko watu wa makamo na wazee.
VIP kishindo cha Dar ilikuwajeTundu Lissu ndiyo habari ya mjini
Tume ndo itakayo ongeaMwisho wasiku kura ndo zitaongea kutoroka si inshu sana, vipi mkuu mtapitisha mabakuli?
Vipi wamiliki wa malori mmeshawalipa ?! Au walijitolea.VIP kishindo cha dar ilikuwaje
Mwisho wasiku kura ndo zitaongea kutoroka si inshu sana, vipi mkuu mtapitisha mabakuli?Tundu Lissu ndiyo habari ya mjini
Kazi za huyo meko zina nini?Thubutuu 😂😂, labda waliojiajiri, sio kazi za meko.
AhsanteHiyo ndo Arusha watu wanamiminika kama sisimizi katika viwanja vya NMC Relini na wengine wameenda kumlaki Mkombozi Mwanasheria Nguli Barani Afrika TL huko KIA
lile tamasha uchwara watu wamelipuuza wanasema ni mambo ya kitoto kwanini waliandae leo? Wanasema hawana shida ya kuwatazama wasanii shida yao ni matatizo ya maisha yanayowakabili kama uchumi, ajira nk
Picha zinakuja stay tuned hapahapa
Mwisho wasiku kura ndo zitaongea kutoroka si inshu sana, vipi mkuu mtapitisha mabakuli?Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi
Kwa vigezo gani fisadi?Ila kusema tu ukweli Chadema wakipata hata asilimia 5 ya kura watakuwa wamejitahidi sana..
Ndo nimeamka nilikuwa Arusha nimetokea Mwanza kwa matukio mawili Ngao ya jamii, Mkutano wa CDM. Jamani wananchi wanamsubiri kwa hamu raisi mtarajiwa Tundu A Lissu #NiYeyE2020.
Tujiandae kuutetea ushindi wetu pale tutaposhinda, maana si kwa mahaba haya.
Wewe 'snitch' mbona unahangaika sana? Link katafuteUsisahau kutuwekea link kamanda [emoji16]
Hao jamaa niwaongo wapo radhi wapige ukunga kwa kusema nyeusi ni nyeupe.Tatizo mnaleta thread kwa mbwembwe baadaye. Mnaumbuka kwa muitikio hafifu..
Atleast ungesapoti uzi wako kwa hao watu wanapenda kwenye huo uwanja
Kwani hukukiona?VIP kishindo cha dar ilikuwaje