Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Ni yeyeeeeWewe ndio kale kadada ka fb kanaitwa nani sijui Bitrice bila shaka ndio wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yeyeeeeWewe ndio kale kadada ka fb kanaitwa nani sijui Bitrice bila shaka ndio wewe
Somo la namba ulifeliUtopolo tupu. Watu wachache kweli
Ukiona matokeo ya hivyo just huyo Lena anaaminika na Wana Arusha kwa kuwa na uzalendo halisi,ukilinganisha na wengine.Lema kakodi Lisu amsaidie kamlipia Hadi ndege Lema anatupa mateke ya mwisho mwisho Arusha kabla kuondoka
Gharama zote za kubeba Watu kwa kuwapa nauli na bodaboda kalipa Lema na kuwapa posho wahudhuriaji
Hakuna Mkutano unemgharimu Lema Kama huu wa leo
Kwenye mpira hakukuwa na mtu kabisaUtopolo tupu. Watu wachache kweli
Sikuhizi mikutano yenu mnafanyia vichochoroni, viwanja vikubwa vinanini?Na hapo hakuna cha lori au punda!
Roho inauma!Utopolo tupu. Watu wachache kweli
Wakipata upenyo tutaziona Sheria nyingi za miswaada ya hati za dharura kuziba mapendo na mashimo waliyoyachimba wenyewe
safari hii anang'oka mapema sanaMungu mbariki Lissu! Amekuja kutuondolea mkoloni mweusi!
Hatinaye mmepata orgasm..Salamu zimfikie popote alipo View attachment 1554447View attachment 1554448View attachment 1554449View attachment 1554450
Mabeberu ccm yakatwe haraka sana October 28Mungu mbariki Lissu! Amekuja kutuondolea mkoloni mweusi!
Kama Dar waliwanyoosha mnafikiri mtashinda uchaguzi kweli?Roho inauma!
Kwenye mpira hakukuwa na mtu kabisa
[/QUOTE
Kwa mara ya kwanza Simba imecheza mkoani kukiwa hamna mashabiki uwanjani, Yaani Lisu amekua mkubwa zaidi ya Simba.
mechi ya simbaAisee kwani kuna nini kinaendelea hapo wakuu.
hawawezi kuthubutu kuweka pua hapaPowerful one...ngoja wale wa kukurupuka waje sasa sijui na hapa watasemaje?