Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Lema kakodi Lisu amsaidie kamlipia Hadi ndege Lema anatupa mateke ya mwisho mwisho Arusha kabla kuondoka
Gharama zote za kubeba Watu kwa kuwapa nauli na bodaboda kalipa Lema na kuwapa posho wahudhuriaji

Hakuna Mkutano unemgharimu Lema Kama huu wa leo
Ukiona matokeo ya hivyo just huyo Lena anaaminika na Wana Arusha kwa kuwa na uzalendo halisi,ukilinganisha na wengine.
 
Na hapo hakuna cha lori au punda!
Sikuhizi mikutano yenu mnafanyia vichochoroni, viwanja vikubwa vinanini?
Screenshot_20200831-164838.jpg
 
Hongera Arusha, Hongera Arusha, Hongera Wachanga kwa kujitambua!! Your level sio ya Tanzania hii.
Hii ni best practice na lesson learnt pia. Sio rahisi kwa watu wasiojitambua kama Waluguru, ama wapogolo wa Morogoro kuacha mechi kubwa kama ya Simba tena ni free of charge wakaangalie mkutano wa Chadema (TL) upinzani.
 
Back
Top Bottom