Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hebu mtuambie Basi huko dahKama kawaida mkuu tunawakilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu mtuambie Basi huko dahKama kawaida mkuu tunawakilisha
Si huwa mnasema chadema wana ukabila na ukanda? Hiki ni nini we mwanamke unaongea hapa? Hata hamuelewi mnasimamia nini.....mtapata kichaa mwaka huu.Lema Sio mzawa wa Arusha Ni mkoloni kaja kutawala Wana Arusha kutoka Kilimanjaro Kama Sugu alivyo mkoloni mbeya kutawala wana Mbeya lazima waondoke
Kumbe lumumba ndivyo mnafyofanya hivyo leo ndio mimejua kwa nini rangi ya kijani inatamalaki kwenye mikutano yenu.Lema kakodi Lisu amsaidie kamlipia Hadi ndege Lema anatupa mateke ya mwisho mwisho Arusha kabla kuondoka
Gharama zote za kubeba Watu kwa kuwapa nauli na bodaboda kalipa Lema na kuwapa posho wahudhuriaji
Hakuna Mkutano unemgharimu Lema Kama huu wa leo
Hapa ni kamba mzee katafute nyingine uje utudanganye.
wakuu lissu wenda ni mtoto wa mw nyerere au dam ya mw nyeree , tuweke ushabiki wa vyama pembeni da hiki si kichwa cha afrika may be kazaliwa afrika kwa bahati mbaya kama mwalim nyerere alivyo zaliwa afrika kwa bahati mbaya , mh lissu niko chini ya miguu yako na nimekuamushia mikono na itoshe sema tu mungu anakupenda sanaubarikiwe sana mkuu
Tunataka zile picha za kupigwa na drone kama zilizowaumbua kule Mbagala hadi wakawatimua TBCUwanja wa relini Arusha pana amani na utulivu, tunangoja kusikiliza sera halafu tutaamua!
2:05 Jukwaa linafungwa......
View attachment 1554205
View attachment 1554245
View attachment 1554274
View attachment 1554279
Mkuu hata mimi nimeona natafuta hii picha nitakuja na jibuHapa ni kamba mzee katafute nyingine uje utudanganye.
Kama hapa ndio kwenye ngome kuu ya Chadema ni hivi basi mataokeo mwaka huu yata tangazwa saa moja tu baada ya vituo vya kura kufunguliwa.Wacha uongo MZUSHI WEWE!
Yaani hamna bendera a wala sare ya chademaHapa ni kamba mzee katafute nyingine uje utudanganye.
Kwa kweli Lissu ni mpango wa Mungu aliye hai.......m
wakuu lissu wenda ni mtoto wa mw nyerere au dam ya mw nyeree , tuweke ushabiki wa vyama pembeni da hiki si kichwa cha afrika may be kazaliwa afrika kwa bahati mbaya kama mwalim nyerere alivyo zaliwa afrika kwa bahati mbaya , mh lissu niko chini ya miguu yako na nimekuamushia mikono na itoshe sema tu mungu anakupenda sana
hiyo steji tu n tofauti kabixaYaani hamna bendera a wala sare ya chadema
Wewe dokta una reasoning ya ajabu sana. DSM sio Arusha, ndio maana Dsm wamefanya mkutano Segerea, Kawe na Mbagala.Kuna Kitu Kinaitwa STRONG HOLD ya Chama Fulani Tunakubali Arusha no Strong Hold ya CHADEMA je Mnajua ni mkoa UPI unawapiga Kura Wengi Na hamkuwa na Ushawishi Kabisa Ni Hesabu Rahisi Sana Kuwa Kilichowatokea DSM hamkuamini ikabidi Mrudi kwenye Strong Hold yenu ili Kujaribu kurudisha iman kwa washabiki wenu lakini hata huko mwitikio sio 100% je Baada ya Arusha Ni wapi je Hamkubari mmepoteza mvuto hata Home
Shikamoo wakazi wa Arusha. Kwa kweli nimewaheshimu. Mnajitambua!Bravo! Arsha , Moshi! Evolution at its apex! kwingie still undergoing evolution
Kama hapa ndio kwenye ngome kuu ya Chadema ni hivi basi mataokeo mwaka huu yata tangazwa saa moja tu baada ya vituo vya kura kufunguliwa.
Chadema jaribuni tena 2025.
Atokee Mwanasiasa Wa Chama Chochote Kwenye Hii Mikutano Ya Kampeni,Asimame Jukwaani Kisha Asemesafari hii anang'oka mapema sana
we jamaa unahangaika sana kuwapa watu matumaini hewa, wewe ukikaa ukatafakari unafikiri watanzania tutawapigia kura Lisu na Mwalimu? Acheni dharau tafadhaliHii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi
View attachment 1553923
UPDATES :
View attachment 1554103View attachment 1554104View attachment 1554105
View attachment 1554315
UPDATE 2
Video ya nyomi hii hapa