Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Sisi wanalumumba hatuwezi kukubali hizi picha hapa itakuwa ni editing Tu imetumika...
Tunamuomba mwenyekiti wetu azuie campaign Kwa muda angalau machozi yaishe
 
Lema Sio mzawa wa Arusha Ni mkoloni kaja kutawala Wana Arusha kutoka Kilimanjaro Kama Sugu alivyo mkoloni mbeya kutawala wana Mbeya lazima waondoke
Si huwa mnasema chadema wana ukabila na ukanda? Hiki ni nini we mwanamke unaongea hapa? Hata hamuelewi mnasimamia nini.....mtapata kichaa mwaka huu.
 
Lema kakodi Lisu amsaidie kamlipia Hadi ndege Lema anatupa mateke ya mwisho mwisho Arusha kabla kuondoka
Gharama zote za kubeba Watu kwa kuwapa nauli na bodaboda kalipa Lema na kuwapa posho wahudhuriaji

Hakuna Mkutano unemgharimu Lema Kama huu wa leo
Kumbe lumumba ndivyo mnafyofanya hivyo leo ndio mimejua kwa nini rangi ya kijani inatamalaki kwenye mikutano yenu.
 
Huu msafara nimepishana nao njian leo (pale makutano ya East Africa road) tena nikasimamishwa na traffic police niupishe nikajua leo kweli AR kuna jambo.

Ila its a shame kwa kweli, gari hazizdi 30 na pikipiki haizizidi 60, kwa kweli hali ni mbaya. mpaka ikabidi nimuulize traffic msafara umeisha niende zangu au niendelee kusubiri kuna watu wakonyuma
 
m
ubarikiwe sana mkuu
wakuu lissu wenda ni mtoto wa mw nyerere au dam ya mw nyeree , tuweke ushabiki wa vyama pembeni da hiki si kichwa cha afrika may be kazaliwa afrika kwa bahati mbaya kama mwalim nyerere alivyo zaliwa afrika kwa bahati mbaya , mh lissu niko chini ya miguu yako na nimekuamushia mikono na itoshe sema tu mungu anakupenda sana
 
Kuna Kitu Kinaitwa STRONG HOLD ya Chama Fulani Tunakubali Arusha no Strong Hold ya CHADEMA je Mnajua ni mkoa UPI unawapiga Kura Wengi Na hamkuwa na Ushawishi Kabisa Ni Hesabu Rahisi Sana Kuwa Kilichowatokea DSM hamkuamini ikabidi Mrudi kwenye Strong Hold yenu ili Kujaribu kurudisha iman kwa washabiki wenu lakini hata huko mwitikio sio 100% je Baada ya Arusha Ni wapi je Hamkubari mmepoteza mvuto hata Home
 
Wacha uongo MZUSHI WEWE!

Kama hapa ndio kwenye ngome kuu ya Chadema ni hivi basi mataokeo mwaka huu yata tangazwa saa moja tu baada ya vituo vya kura kufunguliwa.

Chadema jaribuni tena 2025.
 
Kwa kweli Lissu ni mpango wa Mungu aliye hai.......
Rais Tundu Lissu ✌️✌️
 
Kuna Kitu Kinaitwa STRONG HOLD ya Chama Fulani Tunakubali Arusha no Strong Hold ya CHADEMA je Mnajua ni mkoa UPI unawapiga Kura Wengi Na hamkuwa na Ushawishi Kabisa Ni Hesabu Rahisi Sana Kuwa Kilichowatokea DSM hamkuamini ikabidi Mrudi kwenye Strong Hold yenu ili Kujaribu kurudisha iman kwa washabiki wenu lakini hata huko mwitikio sio 100% je Baada ya Arusha Ni wapi je Hamkubari mmepoteza mvuto hata Home
Wewe dokta una reasoning ya ajabu sana. DSM sio Arusha, ndio maana Dsm wamefanya mkutano Segerea, Kawe na Mbagala.

Huwezi kumwambia mtu wa Kawe aende Mbagala kwenye mkutano, logistics haziruhusu, unasema Chadema hawakubaliki wakati watu wanahudhuria mikutano yao kwa mapenzi binafsi, vipi CCM wanaobeba watu kwenye malori kama mbuzi, hao ndio wanakubalika?

Hamuipendi Chadema ila hali halisi inawaumbua.
 
Ni kwa mwenye UFINYU wa akili tu ndiye anayeweza kuandika ujinga kama huu lakini asijiulize huyo anayejiita KICHAA kama kafanya mengi kwanini ANAHOFIA tume huru? Kwanini ANAHOFIA kura kuhesabiwa hadharani? Za kuambiwa......

Kama hapa ndio kwenye ngome kuu ya Chadema ni hivi basi mataokeo mwaka huu yata tangazwa saa moja tu baada ya vituo vya kura kufunguliwa.

Chadema jaribuni tena 2025.
 
safari hii anang'oka mapema sana
Atokee Mwanasiasa Wa Chama Chochote Kwenye Hii Mikutano Ya Kampeni,Asimame Jukwaani Kisha Aseme

WANANCHI WOTE MLIOKO HAPA UWANJANI, HEBU KILA MMOJA WENU ATOE SHILINGI ELFU 5 TU AIONYESHE JUU!

Kuna Uwezekano Wakawa Nayo Wachache Mno!

Hicho Ni Kipimo Tosha Cha Hali Zetu Ngumu

Anatokea mjinga mmoja hali za maisha ya watu zimeimarika.
 
Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi

UPDATE 2
Video ya nyomi hii hapa
we jamaa unahangaika sana kuwapa watu matumaini hewa, wewe ukikaa ukatafakari unafikiri watanzania tutawapigia kura Lisu na Mwalimu? Acheni dharau tafadhali
 
Back
Top Bottom