Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Dar - Moro Abood au BM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Extra is the bestArusha to Dar
- Marangu
- Extra
- Esther
- Dar Lux
- Kidia One
Mkuu ni kweli nina picha nikizipata kwenye archive yangu...kuna ngala ngala nyingi tu.Kuna moja pia niliwahi panda wapo hivyo hivyo...Mzigo mkiwa hata na HiFI system mnaamnsha mbaya.Ila sasa ...hilo balaa 😀 😀 😀 😀
Usisahau New Force na Al-SaedDar - Moro Abood au BM
Huku kusini Mashariki kunaGari gani zuri kwenda huko Lindi?
Bei zao naomba mkuuHuku kusini Mashariki kuna
#Machinga
#Tashriff
#Barakah
#Maning nice
Buti la Zungu
New Force Ndio wanahio tabia mabasi yao yakichoka wanawauzia kampuni zingine.
Leo nimeona FRESTER ina rangi ya NewForce ila nahisi ni kama kampuni tanzu ya NEWFORCE
Nkuu angalia vizuri frester Juzi nimeona basi la rangi ya New Force usoni limeandikwa FRESTERWala sio kampuni tanzu ni watu wawili tofauti na frester yuko vizuri anaagiz mzigo mwenyewe sasa hivi. Huko kanda ya ziwa anakuja kwa kasi
Ugweno ipilakrome........ugweno moya!!!!!
Wala sio kampuni tanzu ni watu wawili tofauti na frester yuko vizuri anaagiz mzigo mwenyewe sasa hivi. Huko kanda ya ziwa anakuja kwa kasi
Freightline, Peterbilt, mack, international, Kenworth huzi gari sema ukweli sijawai kuziona Tanzania.Jake brake hii kwenye gari za mmarekani kama Freight liner au Peterbit ni hatari sana huo mlio wake.
Mlio unaleta sana mzuka unaweza ukasahau kuwa vyuma vimekaza.
Hizo mbona zipo ila sio nyingi. Bakhresa,Ramada ana International.Freightline, Peterbilt, mack, international, Kenworth huzi gari sema ukweli sijawai kuziona Tanzania.
Na kuna route ya Kampala-mbeya- Tunduma ilikuwa inapigwa na bas ya classicIle route ni route dume mzee. Hakuna mchina anayeweza kustahimili ndo mana gari zake nyingi zimechuka.
Wanasubiri mchina ichoke, wanavua injini wanaweka jikoa scania.
Hizo nais ikiharibika spare ni had uagize USA. alafu kuna page uwa zinauzwa used na mpya yan yana bei ya kawaida sana mi huwa napenda sana muundo wakeHizo mbona zipo ila sio nyingi. Bakhresa,Ramada ana International.
Kuna kampuni ya Zambia inaitwa Khalif Motor wana Freight line kibao zinakuja bongo kubeba mafuta.