Kampuni ya Africell inadai ukiweka hela ndani ya siku 3 unapata Mara mbili yake. Je, imesajiliwa TRA, BRELA?

Ukosefu wa ajira ndio huleta ajira za fedheha kama hizi.
 
DECI
 
Ukitangaziwa fursa yenye kuvutia sana tambua wewe ndio fursa. Huu ni mvinyo uleule kwenye chupa mpya.. DECI, PYRAMID n the like..!
 
Ila Wabongo wasengreee sana, wamepigwa DECI, waapigwa Qnet
Bado huyu anapeleka kichwa chake huko Africell Kupigwa.
Mna Matatizo Gani ?
Hakuna shortcut katika kutafuta Hela
Lakini lazima pawepo na wanufaika hapo.

Hasa kundi la kwanza la watakaojiunga kabla figisu haijaanza.
 
Hiyo ndo sumu ya waalim.
Hawana tatizo kuacha kadi za benki, nchi ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…