Kampuni ya Africell inadai ukiweka hela ndani ya siku 3 unapata Mara mbili yake. Je, imesajiliwa TRA, BRELA?

Kampuni ya Africell inadai ukiweka hela ndani ya siku 3 unapata Mara mbili yake. Je, imesajiliwa TRA, BRELA?

🔰SHUGHULI ZOTE ZINAZOFANYWA NA AFRICELL CAPITAL INVESTMENTS 🔰

🌸💰💸💰💸💰🌸

1⃣ 👉UUZAJI WA BIDHAA MBALIMBALI DUNIAN KOTE (BUYINGAND SELLING OF COMMODITIES)

2⃣ USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MAFUTA YA PETROL NA DIESEL DUNIANI KOTE

3⃣ UNUNUZI NA UUZAJI WA FEDHA ZA KIGENI KATIKA SOKO LA DUNIA (foreign currency exchange)

4⃣ USAFIRISHAJI WA BIDHAA MBALIMBALI DUNIANI KOTE

5⃣
TUNATRADE FOREX, CRYPTOCURRENCY AND BUYING AND SELLING OF COMMODITIES KWANJIA YA MTANDAO

6⃣ UNUNUZI WA MADINI YA CHUMA, SHABA, KOPA NA DHAHABU KATIKA SOKO LA DUNIA

🔰🔰💰💰💸💸💰💰🔰🔰

KUTOKANA NA SHUGHULI HIZO AFRICELL CAPITAL INVESTMENTS INAZALISHA FAIDA YA ASILIMIA🔺 150%🔺 KILA SIKU NA KUTOA GAWIO LA FAIDA YAKE KAMA (KRIPTON) YA ASILIMIA 🔺100%🔻 KWA MEMBERS WAKE KILA BAADA YA SIKU TATU TU

👉 🔺🔰HIZI SHUGHULI ZINAZOFANYWA NA AFRICELL CAPITAL INVESTMENTS🔻🔰
sudii slaa we tapeli na kuna demu anaitwa happy ephraim ndo wanaingiza wenzao mkenge
 
Kuna Kampuni inadai wao wanajishughulisha na biashara mbalimbali, ikiwemo kuuza na kununua Mafuta oil diesel duniani, kuuza bizaa mbalimbali, kununua Madini, usafirishaji wa meli.

Wao wanadai wanesajiliwa TRA, Brella, staili yao ni Moja tu, ukiwekeza kuanzia laki moja Hadi milioni 50 ndani ya siku tatu unapata fedha mara mbili yake, mfano ukiwekeza milioni 10 ndani ya siku tatu unapata milioni 20. Kampuni hii inapiga promo na inaonekana watu wapo wakujiunga,

Ila hizi biashara za kuweka milioni 50 halaf ndani ya siku 3 unapata milioni 100, naishiwa nguvu kabisa. Watanzania tutaacha lini hizi chuma ulete

View attachment 2193460
Hawa walikuwa wanajiita iron trading Platform [emoji1787][emoji1787]...walimpiga Ex bf wangu 100000/= na block moja kubwa sana..alafu namba yake wakamsave "kum*kenge" wakaanza kumcheka[emoji1787] [emoji1787][emoji1787]..haki niiiinyiiiii
 
Mkuu nakuunga mkono. Ikiwezekana naomba unishirikishe. Nchi imejaa wajinga hii mtu kufa maskini ni kujitakia. Bado kuna areas nyingi tu za kuvuna fedha za bure. Uganga wa kienyeji, uchungaji wa upako......
Babu alitupiga na kikombe!
Inabidi tuamke, hata tuuze chupi za upako! Aisee!
 
Back
Top Bottom