Kampuni ya Africell inadai ukiweka hela ndani ya siku 3 unapata Mara mbili yake. Je, imesajiliwa TRA, BRELA?

Nimeishia kucheka tu.
Ushauri: weka milioni 5 hata kwa kuuza shamba la ukoo kisha upate 10m yako hapo ukoo utawapa 5m yao maisha yanasonga
Usiache kuleta Uzi wa kuomba msaada wa kumpata tapeli wako.
 
Ila Wabongo wasengreee sana, wamepigwa DECI, waapigwa Qnet
Bado huyu anapeleka kichwa chake huko Africell Kupigwa.
Mna Matatizo Gani ?
Hakuna shortcut katika kutafuta Hela
Hayo si maajabu kubwa zaidi ccm kila mwaka wanatupiga na tumekaa kipoyopoyo tu.
 
Gooooooooood Morniiiiiiiiiiiiing ,wajinga nido waliowao, mara DESI, Qnet, Mr KUKU now Aficell.
 
DECI😂😂
 
HAYA HAYA SASA WENYE MAHABA NA KUTAPELIWA, DILI HILO 🤣🤣.

PELEKA KILO TATU, UPATE KILO SITA CHAPCHAP
 
Ponzi scheme at work
 
Hizi kampuni zikianza mwanzoni wahi fursa kapige pesa kabla haijawa pyramid, zikianza tu fungua matawi ondoa pesa zako
 
Si Kwamba serikali haizijui huwa inasubiria Mitaji yao ikue kwanza wakifika tu b kuendelea ndo uingilia Kati kupiga pesa zao.
Kwani hela za Deci si ndo zishaenda hizo
 
Kuna watu watakuja kulia Sasa hivi mr kuku huyo Deci et.al
 
Wazee wakudowload hela za bure hizo muende mkadowload..

Mkirudi huko njooni tuililie serikali ya CCM na kudai katiba mpya..
 
hope, they are investors from Nigeria..
Zainab from Wareware hotel with her brothers in different style..

niko English course hapa, nautaka Urais 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…