Kampuni ya Africell inadai ukiweka hela ndani ya siku 3 unapata Mara mbili yake. Je, imesajiliwa TRA, BRELA?

Ila Wabongo wasengreee sana, wamepigwa DECI, waapigwa Qnet
Bado huyu anapeleka kichwa chake huko Africell Kupigwa.
Mna Matatizo Gani ?
Hakuna shortcut katika kutafuta Hela
Ujing na mata maa ya hovyo mno
 
Kuna pama fund hii imepakata wahuni wengi sana fas ya bongo
 
🔰SHUGHULI ZOTE ZINAZOFANYWA NA AFRICELL CAPITAL INVESTMENTS 🔰

🌸💰💸💰💸💰🌸

1⃣ 👉UUZAJI WA BIDHAA MBALIMBALI DUNIAN KOTE (BUYINGAND SELLING OF COMMODITIES)

2⃣ USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MAFUTA YA PETROL NA DIESEL DUNIANI KOTE

3⃣ UNUNUZI NA UUZAJI WA FEDHA ZA KIGENI KATIKA SOKO LA DUNIA (foreign currency exchange)

4⃣ USAFIRISHAJI WA BIDHAA MBALIMBALI DUNIANI KOTE

5⃣
TUNATRADE FOREX, CRYPTOCURRENCY AND BUYING AND SELLING OF COMMODITIES KWANJIA YA MTANDAO

6⃣ UNUNUZI WA MADINI YA CHUMA, SHABA, KOPA NA DHAHABU KATIKA SOKO LA DUNIA

🔰🔰💰💰💸💸💰💰🔰🔰

KUTOKANA NA SHUGHULI HIZO AFRICELL CAPITAL INVESTMENTS INAZALISHA FAIDA YA ASILIMIA🔺 150%🔺 KILA SIKU NA KUTOA GAWIO LA FAIDA YAKE KAMA (KRIPTON) YA ASILIMIA 🔺100%🔻 KWA MEMBERS WAKE KILA BAADA YA SIKU TATU TU

👉 🔺🔰HIZI SHUGHULI ZINAZOFANYWA NA AFRICELL CAPITAL INVESTMENTS🔻🔰
 
⬇🏮🔰➡💰🏵💰⬅🔰🏮⬇
Kwa mawasiliano zaidi piga simu📲 huduma kwa wateja 🙏✍

Airtel📲👉07864........

Tigo📲👉06753..........

Halotel📲👉06229.........
 
Nakubali mwaisa
 
Mkuu mbona unadanganya watu humu, huo ni mtandao wa simu na hata hiyo picha ni wafanyakazi wa hiyo kampuni ya simu Uganda nenda kaangalie hilo jina vizuri
 
Tusubiri wavunaji wakivuna vilio

Sifa ya ponzi scheme ndio hizo ,
 
DECI
 
Anza na 500/- kwanza kutest mitambo...
 
Usisahau JATU

Kulikuwa na D9

Kulikuwa na Mr Kuku

Kijani kibichi

Yaani nataka kuja na ya kwangu Mamushka&Bambushka!
Mkuu nakuunga mkono. Ikiwezekana naomba unishirikishe. Nchi imejaa wajinga hii mtu kufa maskini ni kujitakia. Bado kuna areas nyingi tu za kuvuna fedha za bure. Uganga wa kienyeji, uchungaji wa upako......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…