Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakataa kubinafsisha , watu wanapinga vifungu vya mkataba , Gazeti la Uhuru la hao hao CCM , na hata kama South Africa wamebinafsisha si Kwa mikataba ya kihuni kama hii...Yaani Taifa Tajiri Afrika linabinafsisha Bandari kwa Taifa lingine halafu Wengine ni Masikini kuanzia Akilini ( Ubongoni ) hadi katika Kipato ( Kiuchumi ) wanakataa Kubinafsisha Bandari yao ambayo imekaliwa na Kampuni ya Kifisadi kwa miaka zaidi ya Ishirini, haijawa na Ufanisi wowote na bado tu hadi sasa inawafaidisha Mawakala wa Wapigaji ambao wamejaa Unafiki na Kutwa wanazurula mitaani kama Inzi Kuchochea Watu ( Wananchi ) wake wasio na Uelewa ( Oya Oya ) kutoukubali.
Kwa anayetaka Kuisoma zaidi Taarifa hii ya Afrika Kusini Kubinafsisha Bandari yake kwa Ufilipino asome Gazeti la UHURU la Leo Jumatatu tarehe 24 July, 2023 Ukurasa wa Saba ( 7 )
Hongereni mno na sana Afrika Kusini.
Yaani Taifa Tajiri Afrika linabinafsisha Bandari kwa Taifa lingine halafu Wengine ni Masikini kuanzia Akilini ( Ubongoni ) hadi katika Kipato ( Kiuchumi ) wanakataa Kubinafsisha Bandari yao ambayo imekaliwa na Kampuni ya Kifisadi kwa miaka zaidi ya Ishirini, haijawa na Ufanisi wowote na bado tu hadi sasa inawafaidisha Mawakala wa Wapigaji ambao wamejaa Unafiki na Kutwa wanazurula mitaani kama Inzi Kuchochea Watu ( Wananchi ) wake wasio na Uelewa ( Oya Oya ) kutoukubali.
Kwa anayetaka Kuisoma zaidi Taarifa hii ya Afrika Kusini Kubinafsisha Bandari yake kwa Ufilipino asome Gazeti la UHURU la Leo Jumatatu tarehe 24 July, 2023 Ukurasa wa Saba ( 7 )
Hongereni mno na sana Afrika Kusini.
We mzee tunza heshima YAKOYaani Taifa Tajiri Afrika linabinafsisha Bandari kwa Taifa lingine halafu Wengine ni Masikini kuanzia Akilini ( Ubongoni ) hadi katika Kipato ( Kiuchumi ) wanakataa Kubinafsisha Bandari yao ambayo imekaliwa na Kampuni ya Kifisadi kwa miaka zaidi ya Ishirini, haijawa na Ufanisi wowote na bado tu hadi sasa inawafaidisha Mawakala wa Wapigaji ambao wamejaa Unafiki na Kutwa wanazurula mitaani kama Inzi Kuchochea Watu ( Wananchi ) wake wasio na Uelewa ( Oya Oya ) kutoukubali.
Kwa anayetaka Kuisoma zaidi Taarifa hii ya Afrika Kusini Kubinafsisha Bandari yake kwa Ufilipino asome Gazeti la UHURU la Leo Jumatatu tarehe 24 July, 2023 Ukurasa wa Saba ( 7 )
Hongereni mno na sana Afrika Kusini.
Akili Zako hazina Akili kabisa.. kwani watanzania wamepinga kubinafsishwa Kwa bandari au wamepinga aina ya mkataba tulioingia?..Yaani Taifa Tajiri Afrika linabinafsisha Bandari kwa Taifa lingine halafu Wengine ni Masikini kuanzia Akilini ( Ubongoni ) hadi katika Kipato ( Kiuchumi ) wanakataa Kubinafsisha Bandari yao ambayo imekaliwa na Kampuni ya Kifisadi kwa miaka zaidi ya Ishirini, haijawa na Ufanisi wowote na bado tu hadi sasa inawafaidisha Mawakala wa Wapigaji ambao wamejaa Unafiki na Kutwa wanazurula mitaani kama Inzi Kuchochea Watu ( Wananchi ) wake wasio na Uelewa ( Oya Oya ) kutoukubali.
Kwa anayetaka Kuisoma zaidi Taarifa hii ya Afrika Kusini Kubinafsisha Bandari yake kwa Ufilipino asome Gazeti la UHURU la Leo Jumatatu tarehe 24 July, 2023 Ukurasa wa Saba ( 7 )
Hongereni mno na sana Afrika Kusini.
Umeandika pumba,na hii inathibitisha kua uwezo wako wakufikiri umetawaliwa na chuki pamoja na mawazo ya toka enzi za ujima.Mtetezi mwingine wa kampuni ya kikoloni huyu hapa. Bora walafi wetu wanaopiga huko bandarini tunawamudu na tuna uwezo wa kuwatoa haraka sana kuliko huyo mkoloni wa kiuchumi. Afrika kusini ilizoea tabia za mkoloni kitambo sana na ilichelewa kupata uhuru kisha ina uzoefu wa kuishi na mkoloni hadi leo anaishi naye kama mwananchi mzawa. Kijana unawakumbuka vizuri makaburu na siasa zao lakini? Ok, sawa hawa masultani unataka waje kutawala uchumi wetu? Kama tutaweza kuwavumilia vitendo vyao na tukaishi nao kama wazawa tu waje na wapewe bandari zote wafanye kwa ufanisi sisi tutaenda kuchunga ng'ombe huko mbugani. Kijana naona unataka kutawaliwa kwa kuwa huna uwezo wa kusimamia rasimali zako na ukafanya kwa ufanisi
Huyu mwamba huwa anaongea vitu Bila logic ilimradi apate attention kama demu vile..[emoji28][emoji28][emoji28]Je!
1. South Africa wamebinafsisha bandari zao zote mwambao wa bahari na zile ziwa muhimu kwa Ufilipino??
2. Mkataba wao wa ubinafsishaji ni wa milele kama huu wetu??
Watanzania wengi hawapingi uwekezaji ila wanapinga terms za huo mkataba wenyewe.
Akili zako fupi kama kimo chakoYaani Taifa Tajiri Afrika linabinafsisha Bandari kwa Taifa lingine halafu Wengine ni Masikini kuanzia Akilini ( Ubongoni ) hadi katika Kipato ( Kiuchumi ) wanakataa Kubinafsisha Bandari yao ambayo imekaliwa na Kampuni ya Kifisadi kwa miaka zaidi ya Ishirini, haijawa na Ufanisi wowote na bado tu hadi sasa inawafaidisha Mawakala wa Wapigaji ambao wamejaa Unafiki na Kutwa wanazurula mitaani kama Inzi Kuchochea Watu ( Wananchi ) wake wasio na Uelewa ( Oya Oya ) kutoukubali.
Kwa anayetaka Kuisoma zaidi Taarifa hii ya Afrika Kusini Kubinafsisha Bandari yake kwa Ufilipino asome Gazeti la UHURU la Leo Jumatatu tarehe 24 July, 2023 Ukurasa wa Saba ( 7 )
Hongereni mno na sana Afrika Kusini.
watetezi mko wengi mliopigwa upofu msione athari za uwekezaji huo kwa taifa. Mnachoona ni ufanisi tu kwa tamaa zenu kwamba nanyi mtapata shea au ngawira humoUmeandika pumba,na hii inathibitisha kua uwezo wako wakufikiri umetawaliwa na chuki pamoja na mawazo ya toka enzi za ujima.
Fuatilia vitu ambavyo ubongo wako unaweza kuvielewa,issue ya investment ni kubwa sana kwa akili yako kuielewa,hata kukuelewesha ni kazi bure tu.watetezi mko wengi mliopigwa upofu msione athari za uwekezaji huo kwa taifa. Mnachoona ni ufanisi tu kwa tamaa zenu kwamba nanyi mtapata shea au ngawira humo
Kweli kabisaHuyu mwamba huwa anaongea vitu Bila logic ilimradi apate attention kama demu vile..[emoji28][emoji28][emoji28]