Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

True hiki kizazi cha social network kimeua kabisa soko la magazeti

Makampuni yote ya habari yanapaswa kuja na mabadiliko na kuwekeza nguvu kubwa zaidi katika Platform za mitandao ya kijamii otherwise wataendelea kuangukia pua tu
Mitandao sio Sababu tatizo habari wanazoandika zakijinga ndio maana watu wenye akili hawanunui magazeti

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Uchumi wa kati unakula vichwa dadeki!
 
Uchambuzi usio bias habari za uchunguzi umewahi kuzipata wapi tangu jiwe awe mamlakani... imefikia hatua mpaka Warioba alilalamika kwamba media za sasa tofauti na zamani za sasa zinaandika watawala badala ya zamani zilikuwa zinaibuka kero...sasa ndugu yangu mtu mwenye akili timamu utanunua gazeti linalo report kujipendekeza !!

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mitandao sio Sababu tatizo habari wanazoandika zakijinga ndio maana watu wenye akili hawanunui magazeti

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Mitandao imechangia kwa kiasi kikubwa mkuu take it or leave it ila huo ndio uhalisia ... Kwa mfano Mimi sasa hivi hata TV sitazami cuz habari zote nazipata online Twitter na hapa jf ... Imagine taarifa ambayo unaipata Leo jioni ndio unayo ipata kesho asubuhi katika magazeti ...so hauoni kwamba wanaosoma magazeti wanakuwa wapo outdated
 
The issue here is the contents of newspapers, are they persuading buyres to buy? If the contents base on prising chama dola, I’m not surprised the business is going down.
Let's be realistic. Magazeti ni biashara ya kuuza habari, sasa kama mteja tayari anazijua hizo habari, kuna sababu gani ya yeye kununua? Unless kama unauza hadithi na sio habari. Hata western countries ambazo uhuru wa habari ni mkubwa, print media sasa hivi imeathirika sana.
 
Bado wale jamaa wa Tabata Relini, na vile nikutoka kwa macho mekundu, ndo basi kabisa,anawalia timing tu
WALE HAWAWEZI KUFA KURAHISI KWASABABU NDIO WANAOFANYA VIZURI ZAIDI SOKONI KWASASA, NA SIRI KUBWA NI KUTOKUKUBALI TU KUMSIFIA JAMAA FLANI KAMA WENZIE. WALE BADO WANABALANCE HABARI ZAO.
 
Tumejipanga mwaka huu wataisoma!

Everyday is Saturday............................... 😎
 

Rarely I buy newspapers these days.
 
Bado happajauma...
 
Huyu social network mnamsingizia tu, kwenye nchi zenye demokrasia una subscribe online newspaper na unalipia miezi sita mbele.
Sasa mbona hawa wa huku hawajiongezi?

Nina miaka zaidi ya 6 sijawahi kununua gazeti.

Kila kitu napata kwenye smart phone
 
Kwenye zama hizi unapaswa kuwa mwendawazimu ili ununue gazeti!
Naomba viendelee kufa na vyombo vingine kwani vyenyewe pamoja na wanahabari wake wamekuwa Wana viombea kifu Kila kukicha na pia kwa usaidizi wa wale wasiopenda habari,kwangu Mimi ni jambo la faraja kwani vyote vilishaooteza maana
 
sasa jiulize sababu nini? unazalisha magazeti unauza kidogo na kodi kubwa sijui kama utakubali hata wewe unaweza kukimbia na huyo dangote akimbie tu bila ya sababu maalumu?
wa magazeti afunge tu coz hata masoko sio kama zamani sababu ya uwepo wa mitandao

Lakni suala la dangote sielewi sababu ta harakahraka ni nini mkuu🤔
 
Hahah kakampuni kavisiment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…