Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

Eti mtu kwaakili zake timamu kabisa anapinga kwamba hizi social media hazijaua soko la magazeti ... Wakati huo huo akiwa na tangazo lake la biashara ana kwenda kupost insta au Twitter ...what a skunk !?[emoji16]
 
Nasubiri kusikia ya Dangote Cement
 
Kama wanaandika habari za kusifu tu nani atanunua hayo magazeti?
 
Eti mtu kwaakili zake timamu kabisa anapinga kwamba hizi social media hazijaua soko la magazeti ... Wakati huo huo akiwa na tangazo lake la biashara ana kwenda kupost insta au Twitter ...what a skunk !?[emoji16]
Kila mtu ana uelewa wake ndo mana wakaweka mitihani
 
Online media imeua sana print media. Huu ni ukweli usioepukika. Duniani kote the situation is the same. Huwezi kuilaumu serikali katika hili, kama una akili timamu of course.
Si kweli kwamba duniani kote magazeti hayauziki.
USA Today, The Wall Street Journal, The Yomiuris(Yomiuri Shimbun & Asahi Shimbun), Argumenty i Fakty, yanauzika sana tu.
 
Magazeti siku hizi hayauziki mitaani kwa sababu ya kuegemea upande mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…