Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

Naelewa kwanini China huwezi kuua mtu ikabaki unakula ugali.

Hapa kwetu nasikia Scorpoion yuko mtaani anaendelea na maisha.
Scorpion hakuua wala kuumiza mtu... walumwangishia jumba bovu tu kwa sababu wazozojua waja!
 
Ni ubaya ubwela ni mwendo wa kupakana mafuta ya Puffy Daddy
 
Kuna vitu unasamehe, easy tu hata ikuume kivipi, ila ikivukwa mipaka Hit them .
 
Elimu za wazungu ili waendelee kutuibia hatuzitaki. Ukinipiga shavu nakung'oa shingo ebooo!🤣🤣🤣🤣
 
Yani wale wahanga wa Pdidy uwaambie wamsamehe mwamba? Watakuelewa?

Kisasi huleta nafuu kwa aliyetendwa,

Akuanzae mmalize.


Kwani aliwabaka?
Labda kama aliwabaka.
Maana wengi wa mastar wa nchi mbalimbali hasa ngozi nyeusi nasikia alikuwa akiwaambia Siri ya kubaki kileleni kuwa Star maisha yako yote usishuke wala mwingine kują juu yako ni hiyo?!
Sasa hao wa hivyo watamshataki vipi?!
Maana ni tamaa zao wenyewe. Za kutaka kubaki kileleni na kutajirika.
Ndio maana Imeandikwa; usitamani chochote alichonacho jirani yako.
Wala usimhusudu. Maana Pengine nyuma yake kuna uovu mwingi wa kutisha.
 
Strong people ignore
Average People forgive
Weak people revenge

Tafakarini wale mnataka kufanya visasi.
 
Huu wa bila kuupanga unajulikana na unakuwaga wazi.

Mfano mtu anakuja kukupora Shamba lako na wala halijawahi kuw lake. Aka team na mashahidi wa uongo mwisho anafanikiwa kubeba Nyumba yako.

Huo ni bahati mbaya?


Bado ukitulia utakuja uipate haki yako.
Jipe muda.
 
Hakika, Ipo njia ionekanayo kuwa SAHIHI machoni PA mtu lakini mwisho wake ni njia za mauti.
 
Wanaweza wakasamehe
Yani wale wahanga wa Pdidy uwaambie wamsamehe mwamba? Watakuelewa?

Kisasi huleta nafuu kwa aliyetendwa,

Akuanzae mmalize.
Wanaweza wakasamehe Yes ila kusamehe kwao haimuondolei P. Diddy hatia sababu kinachomkabili ni jinai. Hivyo ikiwa atakuwa proved guilty lazima ashughulikiwe kisheria ipasavyo hata kama victim watasamehe saba mara sabini.
 
Alisema kisasi gani? Mbona Wayahudi aliwatandika mikononi mwa Nebkadneza?

Enzi za Wayahudi Ilikuwa jino kwa jino.

Yanini wewe unikatw mkono kwa panga huku ukijua ila mimi nikikulima mkuki mguuni unione mbaya?
Mara ya mwisho kusoma biblia ni lini mkuu?
Wewe ni mwamini wa Kristo?
 
Wanaweza wakasamehe

Wanaweza wakasamehe Yes ila kusamehe kwao haimuondolei P. Diddy hatia sababu kinachomkabili ni jinai. Hivyo ikiwa atakuwa proved guilty lazima ashughulikiwe kisheria ipasavyo hata kama victim watasamehe saba mara sabini.
Nimekuelewa vizuri sana mummy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…