Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

Huu
Huu ni ukristo 100%
 
Ni mzuri kwa wanaohendekeza ujinga.
Hao unaowaona werevu kwa kigezo cha kutosamehe ndiyo wajinga hasaa a! Kuweza kusamehe it mean Kuna nguvu kubwa ndani yako inayokuwezesha kuendesha hisia zako, kuwa na mipaka na mamlaka binafsi ya kutawala maamuzi ufanyayo.

Kutosamehe ni udhaifu mkubwa Sana.
 
Na ukishindwa kusamehe lipa kisasi
Na kwa Nini ushindwe kusamehe?
Je huwezi kuziendesha hisia zako?
Je wewe ni wa kupelekeshwa tu na kila kinachokujia kichwani mwako bila kuchuja?

Je wewe huwa haukosei?

Vipi hivyo visasi ikitokea vikakurudia kwa watoto wako huko mbeleni?

Ukijizoeza kufanya reasoning utakuwa mtu mwenye nguvu sana rohoni.
 
Kwa hiyo huyo Mungu ana visasi?
 
"Na mkilipiza basi lipizeni sawa na vile mlivyo adhibiwa. Na ikiwa mtasubiri, basi hakika hivyo ni bora zaidi kwa wanao subiri."

Mimi sina subira hivyo nitalipiza
 
Huyo Mungu wenu mwenyewe Alishindwa kumsamehe shetani, Sasa wewe ni nani unahubiria watu wawe wanasamehe?

Huyo Mungu wenu Alishindwa kufanya reasoning ya kumsamehe shetani badala yake akamtupa duniani aje asumbue watu!!!πŸ˜„

Even your God lack reasoning and critical thinking..!!

Duniani hakuna cha msamaha.

Ni ubaya ubaya..
 
Kutokulipa kisasi ni kwa wenye Imani kwa Mwenyezi Mungu. Ila ambao hawana imani kwake wajifunze kwa kitabu Cha Prince Machiavelli na Autobiography ya Brother Malcom X baada ya kutoka Gerezani au Kwa Samson mwana wa manoa, nywele zilipoota tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Wewe ni dugu moja na ndugu Kilanga?
 
Hapo kwenye kusema kwamba huyo Mungu wetu tayari nimekuelewa mkuuπŸ€”

Naona huyo mungu wako anahubiri visasi, Basi endelea utavuna ulichopanda na usisahau
Weeeh..kisasi muhimu weee
Wewe wasema, lakini faida za kusamehe ni nyingi zaidi ya kutosamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…