Kamwe usithubutu kutafuta maisha mikoani, utakosa hadi nauli ya kurudi Dar!

Tunaoishi Dar tunaishi Obey, Msasani, Masaki, Upanga, Mikocheni, Mbezi Beach, Bahari Beach, Kunduchi na Mbweni. Nye wengine wa sijui Gongolamboto, Tabata, Ubungo, Kiwalani, Mbagala, Temeke na kwingineko kote ni aheri uishi mkoani kuliko hizo sehemu..
Umefika .mtoni kijichi temeke wewe au kigamboni
Geita nawasihi , punguzeni matukio ya kikatili . though na nyie mgeni kutoboa kwenu ni 0.0001 .

otherwise awe na hirizi kiunoni

wasalimu chato mkuu
Mbona wachaga kibao wametoboa Geita

Wana kampuni za utalii,mahoteli makubwa na maduka makubwa mengi tu
 
Hujaongea uongo hata kwenye koma na nukta mkuu...!!!
 
hao wachache ni outlier tu
Magorofa yote yaliyoko mikoani,daladala zote mikoani,vituo vya mafuta vyote mikoani,hoteli kubwa zote mikoani ,maduka yote ya jumla mikoani ,Mashule makubwa ya Private nk yote wamiliki watu wa Dar es salaam?
 
magorofa tandahimba?
vituo vya mafuta maswa?
mashule makubwa isongole rungwe?

kubali kataa , mkoani amkeni sasa mko nyuma sana hasa kwenye kupokea mabadiliko
 
Wadanganye nyumbu wenzio 😁😁
 
magorofa tandahimba?
vituo vya mafuta maswa?
mashule makubwa isongole rungwe?

kubali kataa , mkoani amkeni sasa mko nyuma sana hasa kwenye kupokea mabadiliko
Sidhani mikoani sehemu nyingi wana maisha mazuri kuliko Dar na wengi afya zai nzuri kuliko wakazi wa Dar

Dar kiafya wengi wachovu huwezi linganisha na wa mikoani
 
Sidhani mikoani sehemu nyingi wana maisha mazuri kuliko Dar na wengi afya zai nzuri kuliko wakazi wa Dar

Dar kiafya wengi wachovu huwezi linganisha na wa mikoani
uwe na fact mkuu. unafahamu ukanda wa ziwa ndio unaongoza kwa mambukizi ya kansa?

na treatmeant mnakuja huku dar. ushauri epukeni kutumia mercury contaminated water ni sumu mkuu
 
Naunga mkono hoja. Nilifanyiwa vibaya sana na mhehe mmoja tena ndugu yangu wakati nilipokuwa najitafuta kwenye biashara ya mbao. Mapanda shkamoni!!!
umeonaa eeh . vp hukukosa nauli chief?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…