Umesahau jinsi wahindi walivyo na chuki na Pakistani au ?Iran wakijibu basi hii itaelekea kuwa vita kamili. Iran akijichanganya akaingia kwenye vita na pakstan nadhan US anaisubiri hiyo kama opportunity ya kuangusha utawala wa Iran.
Naona mwaka huu tutashuhudia sana vita
PKK ni magaidi wa kikurdi.PKK wao wanajiona kama sio magaidi same to hamas iran inawaona wapigania uhuru USA na Israel wanaona magaidi ko kuitwa gaidi na sio gaidi ni mtazamo wa mtu na mtu
Vita sio ya kufanyia nadharia kimacho tu uzuri wa pakistan hana makelele kana inchi nyingine za kiislam anadeal na magaidi wa ndani na hata akipigwa bado atapewa sapoti kubwa kuanzia magharibi hadi kwa mchina kwa sababu hana mzozo naoPakistan ubavu anao ila sio wa kutunishiana misuli na Iran.
Iran habari yake inajulikana msitake tuwakumbushe.
Na mbaya zaidi Iran ana air defense system nzuri ambayo Pakistan hana.
Kama wakiamua kulengana katika critical infrastructure Pakistan ataumia zaidi.
ππKimeumana wao kwa wao ngoja tuoneHii dini ya Allah ni ngumu sana
Pakistan ilikuwa lazima ijibu ili kuzuia tukio kama hilo kujirudia siku zijazo kama ambavyo Iran hufanya inavyojisikia kule Syria na Iraq.Sema Pakistan wabishi, ngoja tusubiri response ya Iran.
Wametumia ndege, askari au ballistic missiles kufanya mashambulizi?
9 ndio infinityNamba 8 ni infinity
2+0+2+4= 8
Tumeumia
Hao houthi wanapigania nini? mi nimekwambia ni mtazamo wako tu utaamua au kitu walichokifanya katika nchi yenu ndo itaamua kutambua ni gaidi au sio gaidi wewe utaita magaidi mimi nitamwita mpigania uhuru au haki na kumfadhiliPKK ni magaidi wa kikurdi.
Hilo liko wazi.
Hamas wanaeleweka wanachopigania ni two state solution kati ya Israel na Palestina.
PKK wanapigania nini??
Kazi yao ni kufanya suicide bombing ndani ya Turkiye ukiwauliza wamachopigania hawana jibu kamili.
Mpaka Iraq wakurdi wapo hao ni watu wa fujo tu.
una maanisha raia wa middle east hawana akili kbs ? mpk migogoro yao ichochewe na Wagalatia?POOR THINKING CAPACITY AND REASONING...
UNAANGALIA OUTCOMES BADALA YA KUANGALIA ROOTCAUSE,,,MIDDLE EAST INSTABILITY MIAKA YOTE INASABABISHWA NA MABWANA ZENU WAZUNGU I MEAN WAGALATIA WENZENU,
MABWANA ZENU USA WALIVAMIA IRAQ KWA MIAKA MINGI KWA HOJA ETI YA WEAPONS OF MASS DESTRUCTION KUMBE WANATAKA MAFUTA TUH,HIZO WEAPONS WALIZIKUTA??
LIBYA WAMEINGIA NCHI IKIWA NA AMANI WAMEACHA CHAOS HADI LEO,LAANA NA BALAA KATIKA DUNIA HII NI MABWANA ZENU
Mtafute faizafoxy katibu muenezi uislamu mambo leoπTakbiiiir Jana wazee wa bikra 72 walituaminisha humu kwamba shambulio la Irani ndani ya Pakistan lilikuwa na Baraka zote za serikali ya Pakistan, Kiko wapi sasa!!
Ila hakuna mapigano yaliyotokea.Umesahau jinsi wahindi walivyo na chuki na Pakistani au ?
Umewasahau watalebani ambavyo wanauhasama na wapakistan kwenye mipaka yao ?
una maanisha raia wa middle east hawana akili kbs ? mpk migogoro yao ichochewe na Wagalatia?
China sasa hivi si ndiye mbadala wa Saudia. Nasikia anajiandaa kujenga miji kama ya Makka na Madina ili watu badala ya kwenda kuhiji Saudia wawe wanaenda kuhiji China.Pakistan ni miongoni mwa nchi zenye weledi wa intelijensia baada ya mashirika ya UsA. Russia Mosaad ,M16 iko kwenye top 10.
Na Iran akijibu ajue kabisa kuwa USA na wahuni wenzake a.k.a NATO walikuwa wanasubiria hilo akumbuke Russia bado anamkamua jipu Ukraine hatakuja. China ni joka la Kibisa ambaye anavizia watu watwangane yeye aongize kiuchumi hatajihusisha popote uchumi wake usiyumbe
Alafu wale jamaa ni wagaidi sana vita ya moja kwa moja anakupiga huku ana vikundi vyake hadi vya kujitoa muhanga vinakupiga pia waulize wahindi wanawajua vizuri ,hapo Iran achutame tuKatika nchi za kiislam wabishi basi ni pakistan wamewahi wabonda india mpakani mwao
Pakistan na Afghanistan ya wataleban siku hizi ni paka na panya , na mpaka majuzi kumeibuka mapigano kwenye mipaka na Pakistani kwanza kufukuza waafghanistaniPakistan na Afghanistan ni Sunni na Iran ni shia.
UKIMLAANI Israel UTALAANIWA na UKIMBARIKI Israel UTABARIKIWA.
- Mungu wa kweli
Nelson Jacob Kagame
Kwahiyo atakuuwa na mtume pia. ππ China hashindwiChimi sasa hivi si ndiye mbadala wa Saudia? Nasikia anajiandaa kujenga miji kama ya Makka na Madina ili watu badala ya kwenda kuhiji Saudia wawe wanaenda kuhiji China.
China ni Mwana sana
Watu wamekufa na katika dunia hii cha thamani kwa mwanadamu mwenye akili tofuti na wanaomeza mabomu kwa ahadi za kijinga ni uhai wake, halafu unasema hakuna interestsIla hakuna mapigano yaliyotokea.
Hiyo Baluchistan kumbe wana share kama India na Pakistan wanavyo share kashmir.
Hakuna interests za Iran zilizoguswa.
Kama kungepigwa eneo la ndani zaidi hapo yangetokea mengine.
Iran hawezi kujibu sababu anawajua vizuri wendawazimu wa Pakistan.Iran wakijibu basi hii itaelekea kuwa vita kamili. Iran akijichanganya akaingia kwenye vita na pakstan nadhan US anaisubiri hiyo kama opportunity ya kuangusha utawala wa Iran.
Naona mwaka huu tutashuhudia sana vita
Iran wana chawa tu ππPakistan imepigana vita na India kuanzia 1947
1965
1971
1999
Unasemaje haina uzoefu?
Ukiachana na Iran kupigana na Iraq iliwahi pigana na nani tena. Unaipimaje Iran na kudai ina uzoefu?
Ripoti Aljazeera inasema watu sita.Watu wamekufa na katika dunia hii cha thamani kwa mwanadamu mwenye akili tofuti na wanaomeza mabomu kwa ahadi za kijinga ni uhai wake, halafu unasema hakuna interests
View: https://twitter.com/MarioNawfal/status/1747898129192505401?t=eXwt4M4T2NLHEYjEZpCosA&s=19
Yeah!...ila kila mara kuna migogoro ya Wahindu wenye misimamo mkali kuwashambulia Waislamu na kujaribu kuwasilimisha kuwa Wahindu kwa nguvu.Mbona sasa hivi hiyo India ina waisilamu wengi kuliko hata Pakistan?