FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hayo mambo ya kawaida sana kwa nchi zinazoendeshwa na wengine (vibaraka).Propaganda nawakati pakistan imemfukuza balozi wa irani na kumwita balozi wake aliyeko iran
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mambo ya kawaida sana kwa nchi zinazoendeshwa na wengine (vibaraka).Propaganda nawakati pakistan imemfukuza balozi wa irani na kumwita balozi wake aliyeko iran
hizo taarfa za kutokua na vifo unazo ww tu reporter wa tehran kaskazini mvomero hapo si ndio mzee??Hakuna aliyekufa ila huyu jamaa pichani ndo aliyepata majeraha
Iran ikiamua kuichapa Pakistan nawa akikishia ndani ya wiki tu Pakistan itachakazwa vibayae mno
View attachment 2875136
ume andika pumba et marekani ana iogopa iran 🤣🤣🤣 vijana hizo wanzuki mnazo kunywa zina fanya kua wendawazimuKama marekani inaiogopa Iran Pakistan anaweza kufanya nini?
Hivi ukitoa hayo mabomu ya nuclear Pakistan ana silaha gani ya kumtisha Iran?
Hakuna mkristo anaepinga uungu wa Yesu , wewe una dini Yako ambayo sio ukristoMimi ni mkristo naomba nionyeshe maandiko matakatifu( biblia) yanayosema yesu ni mungu
Yesu ni Mungu soma yohana 1:14Nanukuu haya maneno ya biblia hayo mambo aliyafanya yesu au yalihusishwa na yesu kuwa yesu siyo mungu.
Luka 1:32 Huyo atakuwa mkuu naye ataitwa Mwana wa Aliye Juu Zaidi, na Yehova Mungu atampa kiti cha ufalme cha Daudi baba yake,
Mathayo 3:17 Tazama! Pia, sauti ikasikika kutoka mbinguni ikisema: “Huyu ni Mwanangu, mpendwa, ambaye nimemkubali
Mathayo 16:16 Simoni Petro akajibu: “Wewe ndiye Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai
Yohana 19:7 Wayahudi wakamjibu: “Sisi tuna sheria, na kulingana na sheria anapaswa kufa, kwa sababu alijifanya kuwa mwana wa Mungu.”
Yohana 14:28 Mlisikia nikiwaambia, ‘Ninaenda, nami nitakuja tena kwenu.’ Kama mngenipenda, mngeshangilia kwamba ninaenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi
Yohana 20:17 Yesu akamwambia: “Acha kuning’ang’ania, kwa maana bado sijapanda kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu, nawe uwaambie, ‘Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu na kwa Mungu wangu na Mungu wenu
Katika mashambulizi yote ambayo Israel amefanya hakuna hata moja alojitokeza na ku claim.1.Unatunisha misuli kupitia proxy kwanini haingii front mwenyewe?!
Israel imeshafanya mashambulizi kibao ndani na nje ya Iran kuanzia kuua wanasayansi, viongozi wa jeshi mpaka kufanya operation na kulipua kituo cha nyuklia cha Nataz. Iran aliifanya nini cha maana Israel?!
2. Haothi kwasasa wanachezea kichapo, Mara ya mwisho ni Jana Marekani imewatandika kwa Tomahawks.
3. Syria ni failed state. Huna habari kama sehemu zenye visima vingi vya mafuta zinakaliwa na Marekani?! Iran na magaidi wake wameifanya nini Marekani zaidi ya kila siku kulalamika?!
4. Iran inalea magaidi halafu inailalamikia Pakistan kufuga magaidi. Tofauti yao ni ipi sasa. Atulie aonje joto ya jiwe.
Una akili nyepesi vitu vidogo unaita complicationsNaona weewe ulienda kusomea ujinga.
Wacha kuwa mwalimu wa shule za kata kwenye mitandao, huo ubakishe hukohuko shule unayowasomesha ujinga. Ku 'complicate" mambo yasiyihitaji "comlications".
Ulivyoelezea mwanzo ni kama Pakistan na India ni ethnicity tofauti,Kama walikua wakiwasilimisha kwa nguvu,wakikataa wanawaua,mbona wahindu ni wengi kuliko waislam na waislam walitawala hapo kwa zaidi ya Karne!?..uwe unachambua mambo,siyo unabugia tu kisa chuki zako kwa uislamSijasema ni watu tofauti, hio umeitoa wapi?
Na hii ndo maana waislamu wengi they hate Hindus, because of their might.
Pamoja na kunyanyaswa na kuonewa na kuchomwa temples zao na wavamizi wa kiislamu kutoka Afghanistan wakina Muhammad Ghuri na Ghazni waliokuwa wanalazimisha wasilimu wakikataa wanawaua na kuwachomea nyumba zao za ibada, lakini bado majority waliwapinga.
View attachment 2875386
Wameshambulia Baluchistan upande wao,wameuawa watu 11, wanawake 7 na watoto wannePakistan haiiogopi Iran, haitishiwi nyau. Leo Pakistan imewaua Wairan 7 inawaita magaidi ndani ya ardhi ya Iran, Pakistan sio kama Iran inayotoaga onyo zito kwa Israel kwa kutumia barua na maandamano. Kila tukio utasikia this is the last warning, na lingine likitokea utasikia this is the last warning ⚠️
Maalim,Marekani haibi cha mtu.wakiuza Apache moja ni bajeti moja ya wizara ya Tanzania.nashangaa Tanzania sijui huwa inalala kwanini tu! mpk Rwanda anachukua rasilimali sisi Taifa kubwa tupo tu.
Bila kuvamia Taifa jingine na kuiba ni ngumu kusonga mbele angalia US anachofanya.
Hakuna kitachoendelea hapo,siyo Mara ya kwanzaMarekani na washirika wake watamuunga mkono Pakistani ili kuitandika Iran..naona Iran amejitanguliza chooni mwenyewe
Yoh 1:14 Kwa hiyo Neno akawa mwili, akakaa kati yetu, nasi tukauona utukufu wake, utukufu ulio kama wa mwana mzaliwa pekee kutoka kwa baba; naye alikuwa amejaa kibali cha Mungu utukufu ulio kama wa mwana mzaliwa pekee kutoka kwa baba; naye alikuwa amejaa kibali cha Mungu na kweliYesu ni Mungu soma yohana 1:14
Biblia inasadiki vyote ni sahihi,kwamba yesu ni Mungu mkuu na ni mwana wa Mungu,na mtume wa Mungu,na wote wapo sahihi.... QUR'AN inasema wakiristo hawana uhakika juu ya Hilo, wanasema waliyosema waliotangulia kabla yaoYesu ni Mungu soma yohana 1:14
Watoto wa allah wanauwana vipi tena watu wa dini ya haki?Hapo tunasema Mbwa kala Mbwa
Mwaka huu kutakuwa na biashara nzuri sana kwa wauza silaha.huuu mwakaaa tutaona mengi wauza silahaa kazikwenu
Wewe muuza magimbi, una cheo gani katika jeshi la Iran.🤣🤣🤣Hakuna aliyekufa ila huyu jamaa pichani ndo aliyepata majeraha
Iran ikiamua kuichapa Pakistan nawa akikishia ndani ya wiki tu Pakistan itachakazwa vibayae mno
View attachment 2875136