Kanda ya Ziwa tusikilizwe kuhusu uwanja wa ndege. Haivumiliki tena

Mwenye akili atakuelewa!
 
Mwenye akili atakuelewa!
Ukisema Kanda ya ziwa ni primitive na wanatumia primitive means, hawahitaji uwanja wa ndege hayo ni matusi. Kwani uliopo una kazi gani, ufungwe basi hata siku moja uone au ule wa Msalato unajengwa wa nini basi?.Sisi tunazungumzia maendeleo na mchango wa uwanja huo kwenye pato la taifa wewe unaleta utani na mzaha.Please be serious!
 
Mkuu hujamwelewa paschal mayala, ametumia lugha ya picha hapo, kasema kinyume, anamaanisha serikali inatuona watu wa kanda ya ziwa ni jamii primitive, isiyokuwa kuwa na uwezo wa kupanda ndege, ndege zetu ni kuruka na nyungo, serikali inaona kuwa uwanja wa ndege hauna maana kanda ya ziwa, kwa hiyo paschal naye anaumia kwa jamii ya kanda ya ziwa kudharaulika na kuonekana ni jamii primitive.
 
Ulitakiwa kumwelewa paschal ww umesoma juu juu tu, mimi ndio mdau wa Mwanza kama hunijui siwezi kuipondea hata siku moja.
 
Mpwa hawa jamaa wa kanda maalumu ni wabinafsi kweli, ni aibu kulilia viwanja vya ndege wakati maeneo mengine hata stendi za mabasi ni ishu...
Walizoea kudekezwa na mwendazake wakadhani nchi ni mali yao peke yao...
 
Wanajifanya kujitoa ufahamu...
 
Makonda umenena vizuri leo 12.11.2023 pale Mwanza kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza,tumemsikia Prof Mbarawa akiahidi kuwa ndani ya wiki 2 mkataba utasainiwa ili uboreshaji ufanyike ndani ya mwaka mmoja ili ifikapo 2024 lianze kutumika. Tunangojea kuona utekelezaji huo ambapo uwanja huo utakuwa wa kimataifa na kuchangia pato la taifa. Tumechelewa sana. Tusipigwe danadana tena kwa hili tena.
 
Jambo jema lakini hawa wanasiasa nao si wa kuwaaamni asilimia zote.
 
Tuliaminishwa mara kadhaa na wana siasa kuwa kuna mkataba unakamilishwa kwa ajili ya kuanza ujenzi wa uwanja wa ndege wa Mwanza kiwango cha kimataifa na kuwa ungesainiwa katikati ya mwezi wa Dec 2023, mpaka leo kimya. Tuambieni kulikoni?
 
Amos Makala anaufuatilia sana, utasainiwa hivi karibuni, hela za kujenga airport ya Mwanza na Bukoba, Mwendazake alizimega n kuzipeleka Chato.

Pia tumshukuru Malima kwa kupiga kelele mpaka sasa ujenzi umekabidhiwa mamlaka ya viwanja vya ndege, na tuhela twa Manispaa ya Ilemela na jiji walizoweka hapo wamerudishiwa.

Pale jiwe alikuwa anajenga godown kubwa akiaminisha watu kwamba ni jengo la abiria uwanja wa ndege
 
Tuliaminishwa mara kadhaa na wana siasa kuwa kuna mkataba unakamilishwa kwa ajili ya kuanza ujenzi wa uwanja wa ndege wa Mwanza kiwango cha kimataifa na kuwa ungesainiwa katikati ya mwezi wa Dec 2023, mpaka leo kimya. Tuambieni kulikoni?
Mkandarasi bado hajatoa rushwa
 

Na za kujenga SGR alimega akapeleka wapi
 
Na za kujenga SGR alimega akapeleka wapi

..Sgr ndio ulaji wake mkubwa wa Jpm na ndio maana haijakamilika mpaka leo.

..reli ya Tazara ilijengwa kwa miaka 5 ikaaanza kutumika.

..Kwanini Sgr haijakamilika hata Dar kwenda Morogoro pametushinda?
 
..Sgr ndio ulaji wake mkubwa wa Jpm na ndio maana haijakamilika mpaka leo.

..reli ya Tazara ilijengwa kwa miaka 5 ikaaanza kutumika.

..Kwanini Sgr haijakamilika hata Dar kwenda Morogoro pametushinda?
Taja mradi mmoja uliokuwa behind schedule wakati uhai wake JPM.

Hata hilo daraja la salender, fly over ya Mfugale na TAZARA zingekuwa schedule zake za kuisha kabla ya mungu kumchukua mpaka leo zingekuwa azijaisha.

Uzembe wafanye wengine, lawama umpe mtu mwingine.

Hiyo airport wasahau serikali aina hela ya miradi, ina hela ya kulipa madaktari bingwa tsh 650 billion kufundisha manesi. We umeona wapi hiyo duniani zaidi ya ufisadi tu hapo.

Chaka la ufisadi wa juu limetoka TANESCO limeamia Afya. Hiyo vita inayoendelea huko afya shida sio Ummy inaonekana bali kuziba mianya ya watu maana attack zimekuwa nyingi ghafla.
 

..Sgr ilikuwa behind schedule toka wakati Jpm akiwa hai.

..Na kwenda kujenga Isaka to Mwanza kabla ya vipande vya Makutopora-Tabora-Isaka likuwa ni wendawazimu unaochangiwa na ulaji rushwa.

..jitu lenu lilikuwa jizi na katili.
 
..Sgr ilikuwa behind schedule toka wakati Jpm akiwa hai.

..Na kwenda kujenga Isaka to Mwanza kabla ya vipande vya Makutopora-Tabora-Isaka likuwa ni wendawazimu unaochangiwa na ulaji rushwa.

..jitu lenu lilikuwa jizi na katili.

View: https://m.youtube.com/watch?v=0xqYui4qPus&pp=ygURSlBNIGF0ZW1iZWxlYSBTR1I%3D
It’s in your head not factual wakandarasi wenyewe wanakili walikuwa wanalipwa on time, if anything alikuwa analazimisha kama wanaweza waongeze kasi, hela ipo.

Hiyo kujenga wapi kabla ya wapi, wewe sio project manager kujua ‘critical path analysis’ kuelewa task zipi muhimu kwenye mradi kwanza. Hayo mambo designer wa mradi ndio anaweza yaongelea na project manager.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…