Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Your hate to the late Magufuli is very big. In fact through your comments it's showing that you had/or have never seen or appreciated anything good that Magufuli did when he was alive. You'll always find a way to connect him with the topic at the table. Very stupid...Sgr ndio ulaji wake mkubwa wa Jpm na ndio maana haijakamilika mpaka leo.
..reli ya Tazara ilijengwa kwa miaka 5 ikaaanza kutumika.
..Kwanini Sgr haijakamilika hata Dar kwenda Morogoro pametushinda?
Your hate to the late Magufuli is very big. In fact through your comments it's showing that you had/or have never seen or appreciated anything good that Magufuli did when he was alive. You'll always find a way to connect him with the topic at the table. Very stupid.
View: https://m.youtube.com/watch?v=0xqYui4qPus&pp=ygURSlBNIGF0ZW1iZWxlYSBTR1I%3D
It’s in your head not factual wakandarasi wenyewe wanakili walikuwa wanalipwa on time, if anything alikuwa analazimisha kama wanaweza waongeze kasi, hela ipo.
Hiyo kujenga wapi kabla ya wapi, wewe sio project manager kujua ‘critical path analysis’ kuelewa task zipi muhimu kwenye mradi kwanza. Hayo mambo designer wa mradi ndio anaweza yaongelea na project manager.
Phase zote hizo zina wakandarasi wapo kazini...huhitaji kuwa project Mgr kujua kwamba Isaka Mwanza ni useless kama Makutopora-Tabora-Isaka haijakamilika.
..pia let's compare our Sgr to Tazara. Kwanini Dar to Kapirimposhi ikamilike ndani ya miaka 5 halafu Dar to Moro isikamilke huu ni mwaka wa 6? Pamoja na kwamba complexity ya hizi project inatofautiana.
Usichanganye mada, nyie ndio mnafanya wasukuma waitwe washambaNa za kujenga SGR alimega akapeleka wapi
Achana na hawa makamanda uchwara; watakuchosha bure😎😎Na za kujenga SGR alimega akapeleka wapi
Hii ilifikirisha sana inakuwaje unaanzia mwisho kabla ya katikati ?..Sgr ilikuwa behind schedule toka wakati Jpm akiwa hai.
..Na kwenda kujenga Isaka to Mwanza kabla ya vipande vya Makutopora-Tabora-Isaka likuwa ni wendawazimu unaochangiwa na ulaji rushwa.
..jitu lenu lilikuwa jizi na katili.
Phase zote hizo zina wakandarasi wapo kazini.
But then issue kama nilivyokwambia ni critical path ya mradi wewe unatumia logic kuona task fulani make sense kuanza, designer/project manager anaangalia which tasks if completed first enhance potential early completion of the entire project.
Kwanini Dar-Moro ichelewe, halafu Dar-Kapirimposhi iishe mapema.
Factors
COVID 19
Safety precaution in high traffic and high speed railway (inahitaji muda mrefu wa ku test system), test time standard pia zimeongezeka zama za leo.
Hatujui manufacture wa Train alikuwa na tender ngapi za kutengeneza train kabla atujapeleka yetu (ukioda Boeing Dreamliner waiting time ni three years).
Increased budget baada ya COVID kulikuwa na high inflation ya material, hatujui serikali imepata shida kiasi gani kupata hizo hela to cover budget shortfall.
Hatujui demand ya matarima ya reli huko tunako agiza.
Hatujui work force ya mkandarasi na uwezo wa serikali kulipa certificate on time.
Hatujui muda wa kuchimba mahandaki ya reli, kutandaza nyaya za umeme, uwepo wa umeme wa uhakika kuendeshea hizo train.
Kuna factors nyingi sana ambazo hatujui japo miradi inafanana, ila standards ni tofauti in almost all aspects.
Halafu jumlisha na uzembe wa watendaji chini ya serikali iliyopo.
Lakini mpaka JPM anaondoka kila kitu kilikuwa kwenye mstari, kuboronga kumekuja kuanzia April 2021.
..Dar to Kapirimposhi vs Dar to Morogoro?
..Sgr ilikuwa imechelewa hata wakati Jpm yuko hai.
..Jpm aliboronga wakati wake. Ssh naye ameboronga wakati wake.
View: https://m.youtube.com/watch?v=PPE9TpxqC-0&pp=ygUVTWFoaXRhamkgeWEgdW1lbWUgU0dS
Msikilize huyo mhandisi kichwa kimoja cha train majaribio yake lazima kitembee 10,000 km. Umbali wa Dar Morogoro ni kama 193 km (we unadhani unahitaji miezi mingapi to cover those kilometres).
Mabehewa tasting ni 5000 km, mpaka sasa hayo majaribio hayajaanza kuvuta mabehewa ina maana testing ya vichwa aijafikia hata kilometer 5000.
Bado mziki wa umeme wa uhakika ili train iwe ya uhakika inabidi utenge si chini ya MW 150 za train Dar to Morogoro (huo umeme huko wapo) mind you average house hold usage Tanzania 100kwh per day.
Upeleke MW 150 kwenye train za uhakika huo mgao utakuwa mara dufu hasa Dar ambao ni mkoa wa kibiashara na uchumi.
Usifananishe line ya train ya umeme na train zingine kuna mambo luluki ya usalama kwenye train ya umeme.
Mpaka Magufuli anafariki umeme ulikuwa uhakika nchi nzima, line ya train ilikuwa ishatandazwa mpaka Morogoro, vituo vyote vilikuwa vimeisha isipokuwa cha Morogoro mjini ambacho kilishafika 60% percent.
Sasa hivi hata huo umeme wenyewe hakuna wa kuendesha hizo train, bila ya kuleta madhara makubwa ya uchumi 150MW inavuna kodi kubwa kwenye uzalishaji kuliko kuipeleka kwenye umeme.
Kila kitu kimearibika chini ya serikali ya ‘bi tozo’ baada ya kuleta ubunifu wake na kuacha barabara aliyoachiwa na the JPM.
Hiyo airport huko Mwanza wasahau kama barabara ya njia nne Dar-Kibaha imewashinda kumaliza wakati mpaka JPM anaondoka kaacha ujenzi 70% ya mradi umekamilika.
Umesikiliza clip yote kwamba testing ya train inaenda sambamba na mifumo ya reli na umeme...haichukui muda mrefu hivyo ku-test hizo km 10,000.
..treni inaweza kutembea 160 km / hr.
..kwa hiyo unahitaji masaa 62.5 kufanya hayo majaribio. Ni kazi ya wiki moja na nusu hivi.
Likija tena na makomenti yake acahan nalo mkuu kichwa kitakuwa kimejaa makamasi umelipiga haswa na point tupu!!Phase zote hizo zina wakandarasi wapo kazini.
But then issue kama nilivyokwambia ni critical path ya mradi wewe unatumia logic kuona task fulani make sense kuanza, designer/project manager anaangalia which tasks if completed first enhance potential early completion of the entire project.
Kwanini Dar-Moro ichelewe, halafu Dar-Kapirimposhi iishe mapema.
Factors
COVID 19
Safety precaution in high traffic and high speed railway (inahitaji muda mrefu wa ku test system), test time standard pia zimeongezeka zama za leo.
Hatujui manufacture wa Train alikuwa na tender ngapi za kutengeneza train kabla atujapeleka yetu (ukioda Boeing Dreamliner waiting time ni three years).
Increased budget baada ya COVID kulikuwa na high inflation ya material, hatujui serikali imepata shida kiasi gani kupata hizo hela to cover budget shortfall.
Hatujui demand ya matarima ya reli huko tunako agiza.
Hatujui work force ya mkandarasi na uwezo wa serikali kulipa certificate on time.
Hatujui muda wa kuchimba mahandaki ya reli, kutandaza nyaya za umeme, uwepo wa umeme wa uhakika kuendeshea hizo train.
Kuna factors nyingi sana ambazo hatujui japo miradi inafanana, ila standards ni tofauti in almost all aspects.
Halafu jumlisha na uzembe wa watendaji chini ya serikali iliyopo.
Lakini mpaka JPM anaondoka kila kitu kilikuwa kwenye mstari, kuboronga kumekuja kuanzia April 2021.
No worries tumeshazoea kujibizana na huyo babu mzushi.L
Likija tena na makomenti yake acahan nalo mkuu kichwa kitakuwa kimejaa makamasi umelipiga haswa na point tupu!!
Umesikiliza clip yote kwamba testing ya train inaenda sambamba na mifumo ya reli na umeme.
Isitoshe hiyo train tu unaweza ku test kwa week moja kweli? Wakati na yenyewe ina mifumo yake, umeshaona wale ma supervisor/engineers na computer ambazo zina analyse train zile info zinarudi kwa manufacture na wao wana evaluate mifumo yao.
Kwetu sisi watanzania kila kitu rahisi.
Halafu huo umeme wa 150 MW kwa sasa unautoa wapi bila ya kuleta madhara ya kiuchumi zaidi ya yaliyopo kwa sasa.
naibu waziri mkuu mheshimiwa Dr. Doto Biteko jinsi wanavyopambana kukabiliana na tishio la usalama ambalo ni changamoto
.......kama lina dalili kupasuka waendelee tuu ? Siasa hizi wanajitoa akili sana .........ukiwa ccmNaibu waziri mkuu tarehe
28 December 2023 afika tena Rufiji katika mradi wa JNHPP na kuwaambia wataalamu wa uhandisi wasiogope bwawa kubomoka, waendelee kujaza maji na kujaribu mitambo miwili ..
28 December 2023
MAAGIZO MAZITO ya NAIBU WAZIRI MKUU, MGAO wa UMEME BAADA ya KUTEMBELEA MRADI wa BWAWA la RUFIJI
View: https://m.youtube.com/watch?v=fMhERoWCmTo
.......kama lina dalili kupasuka waendelee tuu ? Siasa hizi wanajitoa akili sana .........ukiwa ccm