Likipasuka atawaruka.......Biteko cheo chenyewe hakiko katiba....CV yako haieleweki unga unga nyingi saanaa ukituletea hasara utajuta kizazi hiki.....Mheshimiwa ametumia lugha ya kimombo kuwa kazi iendelee ingawa wasilisho la wataalamu mainjinia wa mradi wanaonesha kuna changamoto ...
Likipasuka atawaruka.......Biteko cheo chenyewe hakiko katiba....CV yako haieleweki unga unga nyingi saanaa ukituletea hasara utajuta kizazi hiki.....
msingi wa bwawa kuzuia maji kupenya ktk msingi / foundation kuzuia hatari kubwa :
Kuna kile kilicho ongelewa na bias llstening ya mwakilishi in relation to their misleading statements to the public.Engineer wa shirika la reli Tanzania alinukuliwa akisema kufuata na utaalamu wake pia rasilima chache zilizopo ndiyo zinafanya hali halisi kuwa mtandao mzima wa reli ya SGR unaweza kuchukua miaka 15 kwa uchache kukamilika.
Soma kwa urefu uzi huu, upate picha kamili aliyosema engineer msomi anayesimamia makadirio ya utalaamu wake bila kupepesa macho mbele ya wanasiasa wa CCM :
Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika
February 5, 2020 Kilosa, Tanzania Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...www.jamiiforums.com
Kuna kile kinachoongelewa na bias llstening ya mwakilishi and their misleading statements to public.
Your whole argument is full of nonsense if you listened to clip carefully.
Kwanza sehemu iliyoharibika kwa mvua ni reli ya MGR.
Wataalamu wa SGR kwa kutambua udhaifu wa njia hiyo na risk za kutandaza reli ndio maana wakaamua kupita kwenye milima na kutandaza mahandaki ili wapate njia.
Wakandarasi wa SGR waliofika hapo sio shughuli yao ni huruma tu wa kuja kuisadia TRC kuboresha njia temporary.
Engineer amesema wao wanampango wa kuitumia hiyo njia iliyoharibika kwa miaka 15 hayo maamuzi hayana uhusiano na completion ya njia za SGR.
Like seriously how stupid are you people kama amuwezi kuelewa straight forward explanation.
Binafsi nilikerekwa sana kuona 90% ya watanzania awaelewi IGA, utashinda kweli kesi ulaya.
Hata kesi waliyoshinda Sourh Africa ndege ilipishikwa ni mimi ndio niliowaambia hatuna bilateral treaty ya kukazia kesi na hiyo nchi za ndani hakina Ndumbaro hizo hoja walizitoa JF.
Just a pathetic country yaani watu mnasukumwa na ushambenga hata akili ya kusikiliza kinachojadiliwa hamna.
Wapi katika hiyo video engineer kasema SGR itachukua 15 years au kasema wao kuachana na MGR itachukua 15 years in their plans (but then that’s a different thing).
Indians anaenda kuchukua tsh 260 billlion kirahisi kwa ujinga wa watu kama nyie. Ile sio kesi ya kushindwa ni kielelezo cha ujinga wa wanasheria wetu kwenye issue za mikataba.
Such a pathetic county
What is your point there exactly?Hivyo makadirio mengine kinyume na mhandisi huyu mkweli wa TRC kuwa ujenzi wa mtandao mzima wa reli mpya ya SGR kutoka DSM Tabora Kigoma / Mwanza utakamilika katika muda wa miaka mingapi tangu kilomita ya kwanza ya ujenzi iliooanza jijini Dar es Salaam kwenda bara mikoani?
Rais Magufuli aweka jiwe la msingi wa ujenzi wa reli ya kisasa
What is your point there exactly?
Usilete meaningless statements, ujibiwe?
Just because kuna wapuuzi wakuja kukupa likes kwa kupost upuuzi aina kila mtu ana muda wa ku entertain nonsense.
Hakuna facts hapo kwenye hiyo quote ya kujibu hoja.
Answer this:
What was quoted cost?
And what is the potential cost based on his estimate based na hiko kipande anacholalamikia.
The next question will be for you to justify the cost based on the project/activity
By know you should know, you have no evidence kwa ujinga unao jaribu kutetea.
Kaka mta-tandikwa usi force issues hii dunia ina kanuni and chronological processes of reasoning at every discipline.Kuanzia mwaka 2017 hadi mwaka 2024 ni miaka saba, hivyo makadirio ya mtaalamu mhandisi kuwa ujenzi kukamilika katika miaka 15 una mantiki ya kuaminiwa.
View attachment 2863185
Picha : Rais Magufuli akifurahia mwanzo wa kazi ya ujenzi wa reli mpya ya kisasa hapo tarehe 12 April 2017.
View attachment 2863188
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amechuchumaa kwenye mfano wa Reli ya Kisasa (SGR) na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO Masanja Kadogosa, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Miundombinu Profesa Norman Sigala mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli hiyo, wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja na Hawa Ghasia (Mb)
View attachment 2863190
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kibao cha jiwe la msingi cha Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza
Picha zote kwa hisani kubwa ya :
Source : Ikulu Blog
Kwani SGR ilitakiwa ikamilike lini?..Sgr ndio ulaji wake mkubwa wa Jpm na ndio maana haijakamilika mpaka leo.
..reli ya Tazara ilijengwa kwa miaka 5 ikaaanza kutumika.
..Kwanini Sgr haijakamilika hata Dar kwenda Morogoro pametushinda?
Uongo na porojo tupu, SGR unaweza kujenga hata ta km 70 na ikafanya kazi vizuri tu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=PPE9TpxqC-0&pp=ygUVTWFoaXRhamkgeWEgdW1lbWUgU0dS
Msikilize huyo mhandisi kichwa kimoja cha train majaribio yake lazima kitembee 10,000 km. Umbali wa Dar Morogoro ni kama 193 km (we unadhani unahitaji miezi mingapi to cover those kilometres).
Mabehewa tasting ni 5000 km, mpaka sasa hayo majaribio hayajaanza kuvuta mabehewa ina maana testing ya vichwa aijafikia hata kilometer 5000.
Bado mziki wa umeme wa uhakika ili train iwe ya uhakika inabidi utenge si chini ya MW 150 za train Dar to Morogoro (huo umeme huko wapo) mind you average house hold usage Tanzania 100kwh per day.
Upeleke MW 150 kwenye train za uhakika huo mgao utakuwa mara dufu hasa Dar ambao ni mkoa wa kibiashara na uchumi.
Usifananishe line ya train ya umeme na train zingine kuna mambo luluki ya usalama kwenye train ya umeme.
Mpaka Magufuli anafariki umeme ulikuwa uhakika nchi nzima, line ya train ilikuwa ishatandazwa mpaka Morogoro, vituo vyote vilikuwa vimeisha isipokuwa cha Morogoro mjini ambacho kilishafika 60% percent.
Sasa hivi hata huo umeme wenyewe hakuna wa kuendesha hizo train, bila ya kuleta madhara makubwa ya uchumi 150MW inavuna kodi kubwa kwenye uzalishaji kuliko kuipeleka kwenye umeme.
Kila kitu kimearibika chini ya serikali ya ‘bi tozo’ baada ya kuleta ubunifu wake na kuacha barabara aliyoachiwa na the JPM.
Hiyo airport huko Mwanza wasahau kama barabara ya njia nne Dar-Kibaha imewashinda kumaliza wakati mpaka JPM anaondoka kaacha ujenzi 70% ya mradi umekamilika.
Ilitakiwa SGR imalizike kabisa na ianze kufanya kazi kwanza kipande cha Dar-Dodoma kabla ya kurukia kujenga kwingine.Mimi naona hali ya uchumi wa Tanzania na utekelezaji wa miradi ya kimkakati haviendani. Sasa hivi kuna mfumuko wa bei wa hatari sana. Hii ina maana huenda deni la taifa la ndani linakua na serikali kulipia miradi yake inabidi kuchapisha fedha. Pia kukopa huko nje kwa sababu ya kukomilisha hii miradi bila kujua tutalipaje. Mimi nafikiri tujikute kwenye maisha yetu ya kila siku kwa mwana nchi wa kawaida Badala ya kutekeleza miradi kwa pupa ambayo hatuna uhakika "return" yake itakuwaje!
SGR inaweza tumiwa na diesel trains, as well as electricity train. Hoja hapa ni electricity trains. Vinginevyo kuna mantiki gani ya kununua train za umeme wakati diesel train zina uwezo wa kufikia speed hizo za 70 mph kirahisi tu be it at higher costs.Uongo na porojo tupu, SGR unaweza kujenga hata ta km 70 na ikafanya kazi vizuri tu.
Hii miradi mikubwa huwa inaulaji mkubwa hizi 10% ndio maana kila siku inaanzishwa mipya🤔Ilitakiwa SGR imalizike kabisa na ianze kufanya kazi kwanza kipande cha Dar-Dodoma kabla ya kurukia kujenga kwingine.
Kwani SGR ilitakiwa ikamilike lini?
| Ujenzi wa Reli ya kisasa ya kati (Standard Gauge) awamu ya kwanza inayoanzia Dar es Salaam hadi Morogoro yenye urefu wa Kilomita 205 unatarajiwa kukamilika 2019 na Serikali inaendelea na juhudi za kuhakikisha inapata fedha ya Ujenzi wa sehemu ya Morogoro-Dodoma. Zaidi ya Kilomita 2600 za Reli ya Kisasa (Standard Gauge) ZINATARAJIWA kujengwa kutoka Dar es Salaam –Morogoro-Dodoma –Tabora-Isaka-Mwanza na Tabora –Kaliua-Kigoma ili kuiunganisha Tanzania nan chi jirani na hivyo kuboresha huduma za uchukuzi na biashara. Imetolewa na kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano. |
Asingeweza kuifanyia hivi Mwanza, punguza uchawahela za kujenga airport ya Mwanza na Bukoba, Mwendazake alizimega n kuzipeleka Chato.
Sasa hii inahusika vp na ye kutotekeleza miradi on schedule? Kumbe ni kweli una issues binafsi na Magufuli..alikuwa katili na hakujificha.
..kuanza kumsifia na kumtukuza kama mnavyofanya ni kuwa-abandon wale aliowadhulumu.
Sasa hii inahusika vp na ye kutotekeleza miradi on schedule? Kumbe ni kweli una issues binafsi na Magufuli
Kweli. Lakini Rais kaishatoa ultimatum...kuna hotuba ya Jpm nakumbuka alisema mradi unatakiwa kukamilika lini.
..nataka hiyo video izungumze na sio maneno yangu.
..kwa upande mwingine naamini miaka 6 na bado hatujasafiri kati ya Dar - Moro - Dom ni ucheleweshaji mkubwa.
Kweli. Lakini Rais kaishatoa ultimatum.