Kaniambia ana ujauzito wangu wakati sijawai kulala nae

Huyo ana ugonjwa wa akili unaohitaji msaada wa ushauri nasaha. Huwa wanapenda kuonekana innocent kwa mtu fulani wanaemtarget hata kama wanatoa penzi kwingine na kama ulijaribu kumdo hata kwa kugusisha uume kwenye chupi,anaweza kukukomalia kuwa iliingia hivyo hivyo. Anajua kuwa haiwezekani ila anakuwa amejifyatua akiamini utaendelea kumuona ana hadhi na anajiheshimu.
 
itabidi nimshauri haende kufanyiwa counseling
 
Darasa la kwanza mwandiko ulikuwa unahudhuria kweli darasan wewe?
 
Amini nakuambia wewe ni mbarikiwa na ishara imejionyesha wazi ivyo kaa ukisubiri malaika akutokee akupe habari njema ya uzao wa kijana wako.
 
Hujawahi kuomba kuingiza kichwa tu mkuu au kumwambia mfanye kijuu juu ? Kama uliingiza kicha na ukakojoa mimba ya kwako sababu umesema kuna wakati unamchezea hamu iishe
 
wewe unatatzo mtoa mada, yani uliwzaje kupiga Katerero, miaka miwili husidumbukize? hacha hizo wewe lea mimba hacha ubwege hata katerelo mimba inaingia ndo ukome
Labda anadhani mimba mpaka ulale nayo na uamke nayo
 
nimecheka kw nguvu aiseee nyie watu ni noma, uwiiii jaman mbavu zanngu
 
"......Tulia ulee mimba wewe -gasper si demu wako? miaka yote hiyo unashindwa kucheza gemu basi cheza na mimba hiyo mkuu"
 
Pumbavu huyu jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…