Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam laandaa Warsha ya Waamini wote Oktoba 29, 2025

Leo nimefanya sample interview ya watu 50:Matokeo
3 wanatiki Oktoba huwaambii kitu kwa Samuya
19-Wanataka kuandamanaa na wapo tayari na wameshaanza kununua vifaa..
6-Ni wakatoliki kindaki ndaki watakua kwenye kongamano.

22-Watajifungia majumbani mwao hawatopiga kura wala kufanya chochote!
 
Mimi mkatoriki lakin sikubaliana na haya mambo DR silaa alifukuzwa upadre kisa kushiriki mambo ya siasa how now waonwana fanya siasa

ikmkatori

Mimi mkatoriki lakin sikubaliana na haya mambo DR silaa alifukuzwa upadre kisa kushiriki mambo ya siasa how now waonwana fanya siasa

ik
Mkatoriki ndio nini? Wewe ni mamluki sio Mkatoliki.
 
siyo kweli na labda hauko well informed, korean Church ni kubwa tu, china ni communist hivyo kama unafikiri communism ni bora klk Christianity then haulewi communism ni nini, communist wanakula watoto wadogo …
Acha propaganda za kitoto, hizo dini zenu za wazungu Na waarabu mnaweza kuwafikia wachina kwa level ya Maadili?, hizo dini zenu sindio zimejaa washirikina, wezi na mashoga ambapo kwa nchi zisizo na hizi TAKATAKA zenu huwezi kukuta huu ushenzi.

Nchi nyingi za Asia zisizofuata Ukristo na uislamu zina amani na maendeleo makubwa, mfano China, India, South Korea n.k
 
Kwani kushiriki uchaguzi ni lazima??Kwa sheria ipi?
 
Wewe jamaa KILAZA sana. Kuna aliyezuiwa kupiga kura? Limtokallo mtu ndio analoliwaza
 
Ukimsikiliza Mkuu wa TEC , ndo utaelewa alikusudia nini..."kabla ya kwenda huko tathimini kidogo dhamiri yako "

Hapo ndo alipigilia msumari wa mwisho.

Uchaguzi mkuu kwa Kanisa ni Kama haupo , watu waendelee na ratiba zingine.

..kwanini Askofu asiwe muwazi na kuwaambia waumini wake wasipige kura?

..tatizo letu Watanzania ni kuzungumza kwa mafumbo na kutokuwa na misimamo thabiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…