M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Kwanza umeonyesha kiwango chako cha umbumbumbu wa hali ya juu kujibu post kwa assumptions, eti wakati mwingine mtoke nje. You don't have slightest idea, au unadhani kila mtu humu anaishi kajamba nani huko TZ kama unavyoishi wewe.Ili taasisi ya kidini ifanye shughuli zake nchi yoyote lazima iwe imesajiliwa na serikali.
Na serikali hiyohiyo ina mamlaka ya kufuta usajili endapo inaona kuwa taasisi husika inakiuka masharti ya usajili.
Nyinyi mnapiga kelele kufungiwa taasisi moja tu, hapo Rwanda rais Kagame kafungia zaidi ya makanisa na misikiti hamsini na wanyarwanda wako kimya.
Wakati mwingine mtoke nje ya Tanzania mkajifunze!.
Kwakuwa siumwi na ninayo afya, basi hakuna magonjwa. Tanzania bado ni nchi isiyo na magonjwaWewe mbona hujatekwa?! Au ndio umepotelea huku jamii forums ndugu zako wanakutafuta hawajui kuwa umepotelea jf na kuandika utumbo?!
Mimi sijatekwa na wewe hujatekwa!
Tupo huru na tunapata hela ya kununua bando la kuja kutoa michango ya kimawazo ya hapa na pale!
Tanzania Bado ni kisiwa cha amani ndio maana Mimi na wewe tupo huru.
Acheni kukaririshwa maneno na watu wasioitakia amani nchi yetu.
Mpaka atekwe, unafahamu kwamba hii JF unayoituma hapa ilivamiwa na bahati nzuri ofisi ya Tanzania ni administration block tu watekaji wameshindwa kupata kitu, unafahamu kama Melo ametishiwa kutekwa na kuuawa goodness yuko nje ya nchi na waziwazi wamemwambia kuwa watamuua na atasahaulika stupidly unamuuliza mtu mbona haujatekwa?Wewe mbona hujatekwa?! Au ndio umepotelea huku jamii forums ndugu zako wanakutafuta hawajui kuwa umepotelea jf na kuandika utumbo?!
Mimi sijatekwa na wewe hujatekwa!
Tupo huru na tunapata hela ya kununua bando la kuja kutoa michango ya kimawazo ya hapa na pale!
Tanzania Bado ni kisiwa cha amani ndio maana Mimi na wewe tupo huru.
Acheni kukaririshwa maneno na watu wasioitakia amani nchi yetu.
Shime kwa majimbo mengine wajifunze dar, waandae activities tofauti tofauti siku hiyo.Hao wakatoliki wenyewe hawajakubaliana kuhusu jambo hili sasa madhehebu mengine yaige kitu gani?!
Hiyo warsha imeandaliwa jimbo katoliki DSM. Huko Tabora,Mbeya na Bukoba hawana habari za warsha wala makongamano bali wanachongojea ni tarehe ifike wakapige kura.
Hata hiyo Dar es salaam wakatoliki wengi wataenda kupiga kura.
Kwanza ukichunguza wagombea wengi wa ubunge na udiwani utakuta ni wakatoliki na nyuma yao Kuna wafuasi ambao wamejiandaa kuwapigia kura.
Hilo warsha la katoliki Kuna uwezekano watahudhuria wakatoliki wachache sana hasa wale wa chadema.
Huyo ni mtoto kichwani.Mpaka atekwe, unafahamu kwamba hii JF unayoituma hapa ilivamiwa na bahati nzuri ofisi ya Tanzania ni administration block tu watekaji wameshindwa kupata kitu, unafahamu kama Melo ametishiwa kutekwa na kuuawa goodness yuko nje ya nchi na waziwazi wamemwambia kuwa watamuua na atasahaulika stupidly unamuuliza mtu mbona haujatekwa?
Unajua huko TZ watu wanaingia JF kiharamu kwani imefungiwa, au na hilo utauliza mbona wana-comment kama imefungiwa.
Hawa vijana wasio na akili ndiyo mtaji wa watawala, mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa chawa.Huyo ni mtoto kichwani.
Umeeelewa nilichooandika? Au umekurupuka kama kawaida yenuKwahiyo Dr Mpango, Innocent Bashungwa, Amos Makala, Dr Tulia Akson na Paul Makonda nao ni mamluki ?! sio wakatoliki?!
Nikama unataka kusema wanapaswa kuendelea kuwa m_a_fa_la au?Magufuli hakuwai kuteka kanisa lilisema nini?
Hawa jamaa bado wanaishi kwenye zile ndoto za Roman Empire, hivi sasa wanajivua wazi nia yao mbaya wanadhani wao ni kila kitu hawajui maisha yataendelea muruaaa kabisa. Wewe nuna wenzako wanakula tu. Wanachofanya ndio inasukuma waislamu wajue huu ni udini sasa tutapiga kura hata kama hatuwapendi CCM.Hii Nchi siyo ya kikatoliki Msiposhiriki nyie wapo watakaoshiriki wengine
Kwani kupiga kura lazima?Ikumbukwe tar 29 ni siku ya kitaifa ya uchaguzi!
Shughuli zingine zote yapaswa kusubiri.
Nimemaliza.
Hawana tofauti na Wachokonozi.Hii maana yake waumini wa Catholic hatushiriki uchaguzi mfu dadeki!!
Maandamanooooooooo
Unataka kusema nini, acha taarab.Imani yako ya chadema?!
"Ostadh" maana yake nini?!
Ukiniambia maana sahihi ya "ostadh" nina maswali mawili au matatu ya kuthibitisha "uostadh" wako tuone kuwa hujadandia gari kwa mbele na kujiita majina ambayohata hujui maana yake!
hapo ni kikomo chaoKweli kanisa Katoliki ni Baba lao.
Walifungie kama walivyofanya kwa Gwajima.
Bado huijui nguvu ya Roman Catholic wewe.Hawa jamaa bado wanaishi kwenye zile ndoto za Roman Empire, hivi sasa wanajivua wazi nia yao mbaya wanadhani wao ni kila kitu hawajui maisha yataendelea muruaaa kabisa. Wewe nuna wenzako wanakula tu. Wanachofanya ndio inasukuma waislamu wajue huu ni udini sasa tutapiga kura hata kama hatuwapendi CCM.
Waanzilishi wa ukoloni, utumwa, inquisition, crusader wars, Masonic and corrupt church, Utakatishaji wa fedha, (ESCROW, Banco Ambrosiano scandal) ulawiti wa watoto na mauaji ya kimbari Rwanda na Yugoslavia, etcBado huijui nguvu ya Roman Catholic wewe.
Hivi tunadhani hata ule UHURU WA KWENYE SAHANI tuliupata kutokana na na nguvu za kiushawishiwa yule mswahili wetu ,eti ? 🤣🤣
Endelea kujitekenya ,soon utacheka mwenyewe .
Nguvu? nadhani wenye nguvu wameshika uchumi na unawajua vizuri sasa hebu tutajie hizo nguvu zako? jinga kubwaBado huijui nguvu ya Roman Catholic wewe.
Hivi tunadhani hata ule UHURU WA KWENYE SAHANI tuliupata kutokana na na nguvu za kiushawishiwa yule mswahili wetu ,eti ? 🤣🤣
Endelea kujitekenya ,soon utacheka mwenyewe .