Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge Ngara lafungwa kwa uvamizi

Kwahio wakifunga ndio inakuwaje ?

Nilidhani uwepo wao hao waumini ndio utakatifu wenyewe na usafi !!!! Haya mambo haya kwani hata kama hakuna ukuta au Bati wanashindwa kusali chini ya miti au kwenye uwazi au hata kibarazani ?

Nadhani hizi ni complications; kwahio likitokea wimbi la so called unajisi makanisa yote yatagungwa ?

Weka CCTV Cameras (They seem to work more kuliko Maombi)
 
Huna akili. Kwahiyo umegeuka vyombo vyaa usalama sasa unatoa na ripoti kabisa
 
Hivi hamna walinzi hadi hayo yatokee?
Parokia yetu ina walinzi sita!!
 
Kuna baadhi ya watu hawakustahili kabisa kuzaliwa kama binadamu. Badala yake walitakiwa kuzaliwa kama wanyama waharibifu! Mfano nyani, kunguru, nk. Maana wanakosa kabisa sifa ya ule ustaarabu wa mwanadamu.
hahaha. Umesema vyema ila ninacheka. Nimemkumbuka luka eymail wa yanga alisema hivihivi kwenu wanautopolo.
 
Hao wanatafuta uchizi kwa lazima ,haipiti wiki Kama hawajakamatwa ,watakua vichaa au marehemu,wakaombe msamaha ndio pona yao,chezea kote lakini sio turbenako
Nyumba zote za ibada za dini zote duniani zinapaswa kuheshimiwa na sio turbenako peke yake. Mimi sina dini lakini kamwe siwezi kufanyia dhihaka dini za wengine.
 
Huna akili hivi makanisa yapo mangapi nchi nzima waende kuvamia huko
Swali lako ni la kijinga na yawezekana kichwani mwako kuna minyoo inakusumbua kiasi cha kushindwa kutumia intelligence uliyonayo.
Lakin pamoja na ujinga wa swali lako nakujibu kwa kukuuluza swali ujambazi unapotokea kwenye familia yoyote kijijin inamaana hawajaona hao majambazi familia zingine ikiwemo mijin hadi wakavamie huko? jiongeze wewe vinginevyo utaendelea kuwa kuwadi la warabu wa dpworld koko mpaka mvua zitaenda huku kina samia,mkumba na chongolo wakiwahadaa nyie wajinga wakati watoto wao hawasomi hata shule za serikali ambazo wao ndio wanazisimamia.
 
Punguza mihemko.
 
Mazingira ya uvamizi yanaashiria ni wao. Waraka umewaibua mashetwani wenye ngozi ya kondoo.
Nenda kituo chochote cha karibu cha polisi ukatoe hayo maelezo inaonekana una vitu unavifahamu unaweza kusaidia upelelezi .
 
Nenda kituo chochote cha karibu cha polisi ukatoe hayo maelezo inaonekana una vitu unavifahamu unaweza kusaidia upelelezi .
 
Hao wanatafuta uchizi kwa lazima ,haipiti wiki Kama hawajakamatwa ,watakua vichaa au marehemu,wakaombe msamaha ndio pona yao,chezea kote lakini sio turbenako
Walishalaaniwa toka matumboni kwa mama zao na laana hiyo ndiyo iliyowasukuma kufanya hivyo. Binadamu wa kawaida hawezi kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…