Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge Ngara lafungwa kwa uvamizi

Unabii unasema, wakubwa wa watu wataingia Kanisani na kuleta SHERIA madhabahuni, na kunajisi madhabahu.

Baada ya hapo watarudi tena na kukabidhi Kwa Kanisa fimbo ya ukuu wao.

Na ikaonekana madhabahu imejengwa jumba kuu.

Inafikirisha,

Kila kitu kina sababu yake Kutokea.

Tusubiri.
 
Washukiwa wakwanza wa hilo tukio wawe serikali, CCM na DP World
Hata lilipovunjwa kanisa katoliki jimbo la Geita na kufanyika uharibifu,mlikuja na tuhuma za aina hii ila ulipokuja kujulikana ukweli wa muhusika ni nani mkawa kimya!
 
Serikali inajua mambo mengi tusiyoyajua.
Ukiondoa uchaw naamin utajib kwa usahihi san! Tuliona mapadre kukosoa awamu iliyopita lazima akamatwe ahojiwe uraia wake hii yote ni utawala wa kifalme ni marufuku kukosoa kiongoz!!
 
Poleni sana kanisa katoliki ngara
Nb; katoliki mnailea sana CCM ebu ikataeni sasa
Sasa hapa CCM inaingiaje mkuu? Kila kitu kuilaumu CCM haitakusaidia maana hakuna mahali taarifa imehusisha uharibifu huo na chama chochote cha siasa.
 
Waabudu masanamu na albadil wap na wapi cjaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…