Kanisa Katoliki kutoa hifadhi kwa waumini wa Gwajima

Catholic Church has never supported a Muslim president
in all honesty your level of reasoning is rather porous.
Is Kikwete a Kafir?.
why did catholic church supported him and it even went further by saying that Kikwete was God sent to rescue Tanzanians from their poverty?.

you guys prioritise religion than rationality that why israel is killing you on daily basis.
thunder fire you id!ot.
 
Haya ingieni kikqgoni mvunje na huo ukumbi.
 
Bila shaka wewe ndio Mshauri Mkuu wa Siasa hapo Chadema halafu unashangaa kwanini mmefungiwa kuifanya siasa! PUMBAVU!!
Una kalili maisha sio kila mtu yupo kwenye vyama vyenu hivyo.

Ujinga unaofanyika kila Mtu mwenye akili timamu anaona.
 
Sina hakika kama una uwezo wa kuelewa. Kwa hiyo itatokea siku moja misikiti ikafungiwa!!
Kwani yamefungiwa makanisa au kanisa? Na huo uwezo pia serikali inao.....Serikali haina dini na Serikali ndo ambayo imezipa dini uhuru wa kufanya wafanyayo na si namna nyingine
 
Kwani yamefungiwa makanisa au kanisa? Na huo uwezo pia serikali inao.....Serikali haina dini na Serikali ndo ambayo imezipa dini uhuru wa kufanya wafanyayo na si namna nyingine
Hivi ushawahi jiuliza kati ya dini na utawala ni kipi kilitangulia kuwepo

Je nikweli unaweza itenganisha dini na utawala?
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😑😑😑😑!!!!
Hawahitajiki kwa kipi?

Anayehitajika ni yule aliyeua watu 20 kwa kuwakanyagisha mafuta?

Au watekaji wa mzee Kibao, Soka , Mdude , Dioniz Kipanya ndio wanahitajika?

Majizi wa rasilimali , kura na pesa za walipa kodi ndio wanahitajika?

Nyie vidampa wa bi Mwenda akili huwa mnakabidhi kwa muda fulani katika saa 24 za siku halafu mnarudishiwa kwa muda fulani tu?


View: https://www.youtube.com/live/YdU8YHYQUT0?si=gM2s4Q6Ml2IO43X-
 
Mimi ni atheist siamini Mungu wala dini.

Ila ni mpenzi mkubwa wa uhuru wa kuamini au kutoamini watu watakavyo.

Naheshimu sana haki za binadamu, uhuru wa kuabudu, freedom of conscience.

Nalaani vikali serikali zinazoingilia uhuru wa watu kuabudu na kuamini, au kutoamini wanavyotaka.

Tanzania ina katiba yenye vifungu vya kuheshimu uhuru wa kuabudu, pia imesaini mikataba ya kimataifa ya kuheshimu uhuru huu.

Serikali kuuingilia uhuru huu wa wananchi si tu ni kuvunja katiba ya nchi, bali pia ni kuvunja mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu.
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😑😑😑😑!!!!
Maaaaviiiiiiiiiiiiiiii
 
Mimi ananiacha hoi ambavyo haambiliki wala hana habari kuwa tumefikia pabaya kama nchi. Kwa kweli inafikirisha sana juu ya uwezo wake.
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😑😑😑😑!!!!
Jaribu kuwafungia roman
 
wewe ni mpumbavu kweli, huyo anayelifungia katoliki dunia nzima hajawahi kutokea. hata hivyo, mnafanya hayo kwa chuki dhidi ya ukristo, ndio shida yenu. mashetani wakubwa nyie.
Na mm naomgezea
Mashetani na magaidi wakubwa hawaa
 
Kanisa la mungu haliguswi
 
Hivi ushawahi jiuliza kati ya dini na utawala ni kipi kilitangulia kuwepo

Je nikweli unaweza itenganisha dini na utawala?
Naongelea kwa hapa maana dini zililetwa na wageni.........huko unapoelekea basi hata ma sangoma watakua na nguvu kuliko serikali maana nao ni watu wa dini japo sio za wageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…