Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,367
- 2,407
Upelelezi ni Taaluma za watu. Wanafahamu waanzie na nani? Si kila anayekwenda kuripoti polisi au kuwaeleza wananchi juu ya Tukio la Uhalifu, kuwa yeye mwenyewe ni msafi. Ni vigumu kwako kuelewa maelezo hayo, ila kwa wenye taaluma ni muhimu sana.Hapo hamna suala la maana tatizo kubwa ni kukemea utekaji tu ,Gwajima alikuwa mtu wa maana kwenye mfumo mpaka siku alipozungumzia hayo mambo
Afu nawe unanipiga mkwara kwani viongozi wetu ujinga wao unajificha si kila mahali wanaboronga
Na hili nalo, Gwajima anatakiwa akatoe maelezo.Kosa lao nini? Kama Gwajima mna shida naye sasa kanisa lenye matawi elfu 2 lina kosa gani? Si mngemfungulia kesi Gwajima. Mbona huko Katoliki mmemvamia kitima ila mkaliacha kanisa liendelee si mngemteka tu Gwajima kuliko kulitesa kanisa zima lenye malaki ya washirika.
We shabikia tu, hata polepole alikua kama wewe ila siku wamemteka dada yake ndio akili zikamrudi. Watch outNa hili nalo, Gwajima anatakiwa akatoe maelezo.
Kenya is a falling state. Kama una hakika huko kuzuri, Hamia Kenya, utaniambia..............uliza kenya
Wafuasi wake. Hawa wanajua aliko.Nani atamleta ? Tanzania hakuna amani ni utulivu tu kutokana na uoga wa watu wengi uliza kenya
Sawa endeleeniUnafahamu Charistimatic?
Naona unajisahaulisha ulikotokaUdini unaingiaje tena mkuu?mimi nimekuuliza tu sababu ya kufungiwa kanisa lake ni ipi?
Ilimradi wasivunje sheria.Huwezi fungia RC kwani ukumbi wao ni mali binafsi wana hiali ya kumpangisha yeyote
Endelea kujidanganya.Katoliki ifungiwe? Unaota wewe amka
Waambie wajichanganye waidharau Serikali uone.Kanisa Katoliki ni dude kubwa hata Rais wako Samia analijua.Hapo walipo enda wapo salama sana
Kwa nini mpaka akatoe maelezo, kwani intelijensia ipo wapi kumpata alipo?Na hili nalo, Gwajima anatakiwa akatoe maelezo.
Ipo siku utaijua akili yangu.Kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki!
Kudharau ni kurudia kufanya kile ambacho umekatazwa. Serikali ilikataza kuchanganya dini ana siasa, Ila bado wanachanganya na wanaokosoa serikali kila siku. Mbona hamchukui hatua?Waambie wajichanganye waidharau Serikali uone.
Soma vizuri uwepo wa Kanisa Katoliki China utaelewa maana yangu.Kanisa katoliki lipo China Mkuu, na lina waumini wachina japo ni wachache.
Inasikitisha sanataratibu taratibu wakristo wameanza kuungana. atabaki mwamposa na maboya peke yao. ukiona hadi wakatoliki na walokole wanaungana ujue wamefikia mahali wakaamini adui yao ni mmoja. serikali inakotupeleka sio kuzuri. wafanyeje sasa manake maaskofu wa katoliki wanawindwa na kufuatilia hadi na magari, kwa sababu tu wamehubiri, mapadre wanavamiwa na kupigwa, hadi imefikia mahala siasa zimezuiwa, ila samia bado tu haelewi anakoipeleka nchi.
Hao waliokuwa wanachoma makanisa na kuua makasisi walikuwa wahuni tu kama Gwajima!Na unaujua na mwisho wake huyo Napoleon? Mateso ya kanisa hayajaanza leo, mbona hapo Zanzibar tumewahi shuhudia makanisa yakichomwa,padri kupigwa risasi na wengine kumwagiwa tindikali, lakini bado limeendelea kuwepo.
All the best!Hii serikali itaporomoka vibaya sana, alafu wahuni wa Gwajima tutachukua nchi
Unaleta mihemko ya kitanzini hapa, sasa ngoja jumapili, na utashangaa watu wanasali na wanaondoka. Mkifanya fujo kanisani Katoliki hiyo jumapili mjue 100% uchaguzi hautakuwepo.Katika hilo, Gwajima ndio namba one. Akaripoti polisi.
Umetumia spray ya rungu bado anarukaruka huyo. Piga nyundo hahahhahaKumbe wewe ni mpumbafu kanisa katoliki lipo Saud likose kuwepo china? Wakati Kuna mapadre na maaskofu kibao wachina kutokea parokia na majimbo mbali mbali huko china
Na wachina wengi tu ni wakatoliki
Unahisi sijui nimeandika nini?Una uhakika unajua unachokisema? Hiyo kula yako ndio inakulevyo namna hii!
Ahahahahaha!!!Masikini ya Mungu, ujanja woteeeeeeeeeeee, kujidai koteeeeeeeeeeeee, hujui kuwa China kuna Katoliki? Beijing pekee (Yaani mjini Center) kuna makanisa zaidi ya 5. Na yana ukubwa zaidi ya St Joseph, Forodhani.