PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Shuleni ulienda kujifunza ujinga..
 
Wasiibe kura popote pale twende jicho kwa jicho kwa utulivu.
Tutaona makubwa sana.
Mfano mimi na Mzew Rungwe..walituibia agenda yetu ya Ubwabwa na sasa mashule kote wanafunzi wanakula japo si kote.

Upinzani si dhambi,Jesus ,Mungu mwenyewe wana battle na shetani mpaka tukaachiwa sisi wenyewe tujiombee
 
Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Kumbuka pia kuna baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC).
 
Uko mbali kabisa na mada iliyoko mezani.
 
Mama Samia tulia na omba sana kwa Mola wako, wamekupania kweli kweli hao jamaa. Uliwahi kusikia swali kama hilo likihojiwa na hao jamaa wakati wa JPM au Mkapa?!!!! Jibu lipo wazi......
 
Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Subiri tamko rasmi la TEC nzi wa kijani wewe
 
Mama Samia tulia na omba sana kwa Mola wako, wamekupania kweli kweli hao jamaa. Uliwahi kusikia swali kama hilo likihojiwa na hao jamaa wakati wa JPM au Mkapa?!!!! Jibu lipo wazi......
Mtaongea yote mwaka huu ila vyovyote vile lazima mfumo wa hii nchi unadilishwe ili wananchi wapate maendeleo ya kweli
 
Mbona sisi hatuhoji matumizi ya sandakan zetu. Yesu Kristo alituonya ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari.
 
Huyu mama tukimuacha aeendelee kuongoza nchi hii kwa miaka mingine 5, nchi itapigwa mnada.
 
Mama Samia tulia na omba sana kwa Mola wako, wamekupania kweli kweli hao jamaa. Uliwahi kusikia swali kama hilo likihojiwa na hao jamaa wakati wa JPM au Mkapa?!!!! Jibu lipo wazi......
Kwa Mola yupi..!?..Allah..!?..Hakuna mola anayetetea utekaji na uuaji...acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…