Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Kanisa moja takatifu katoliki la mitume!

NI JAMBO JEMA.

Cc: Lucas Mwashambwa
 
Papa kapatikana, ni mzungu mweupe, turudi kwenye mjadala wa kumpata papa mweusi, kuna wadau walisema haitatokea papa awe mweusi, je tuendelee kuamini hivyo?
Vipi na kuhusu dhehebu letu la SDA aka Kanisa la wasabato! Kuanzia enzi za Bibi yetu Ellen G White, mpaka sasa tumeshawahi kumpata kiongozi Mwafrika?
 
Nilisema mie, anayekuja ndo anahalilisha kabisa alivyo vi asisi Francis.
Majiraniii hukuuu, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha kujidanganya. Kupitia maelezo niliyosoma, huyu Papa mpya alimuunga mkono mtangulizi wake kwenyue baadhi tu ya mabadiliko mfano kuhusu suala la wahamiaji, kuruhusu watu walio tengana kukomunika, nk.

Ila hakumuunga mkono kwenye suala la kuwabariki wapenzi wa jinsia moja.
 
Trump alijua kupitia Cia na Fbi,akapiga na kampeni mtu wake apite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…