Kindred Spirit
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 457
- 666
Well stated 👏Nina imani wewe siyo Mkatoliki. Maana kama Marekani tu na ukubwa wake, hii ndiyo mara yake ya kwanza inatoa Papa! What is so special about Africa?
By the way, Papa akichaguliwa huwa anawahudumia waumini wote wa Katoliki duniani kote. Na siyo waumini wa nchi yake tu. Na kuna Mabara mengi duniani, huku Papa akitakiwa kuwa mmoja tu.
Kwa Wakatoliki wa Afrika, sidhani kama kuna muumini anaweza kuwa na mtazamo kama huu wa kwako. Kwao Papa ndiyo muhimu, na siyo mahali anakotoka.
😹😹😹 Kumekuchaaa.!!Kumbe mnawakubali sana Wakatoliki na kuamimi kuwa ndiyo Wababe wa dunia, sasa Chuki zenu na Mihadhara yenu ya Kuwatusi Wakatoliki huwa zinatoka wapi?
Wa Kuinama na Kujamba 24/7 bhana!!
😹😹😹😹Madarasat Kiblatein kulatein wa tein saa tein nadhani
Ila sisi Wakatiliki wala hatufikirii hivyo vitu. Kwetu sisi tunapozungumza kanisa ni kitu kimoja hatuna mipaka ya kidunia, ni mwili mmoja wa Kristo, ambaye alikufa kwa ajili ya yeyote anayeridhia aokolewe naye. Huyu ni Mmarekani ambaye alikuwa akichunga kondoo wa Bwana huko Peru kabla hajahamia makao makuu, na anaweza kuongoza hadi akafa hajafika kwa Trump, ila akatembelea maeneo yenye uhitaji duniani kwa kadri anavyoongozwa na Roho Mtakatifu, eneo lake ni kubwa mno hata hawafikagi kote hadi wanakufa.Kwa ubaguzi walio nao hawa watu hadi dunia inaisha haitakua na Papa mweusi, labda Papa mweusi atabaki kuwa Papa Mafido na Papaa Wemba
Una keyboard ya kisukuma? 😹😹Kama kuna VITUKO DUNIAN
Asbh kuna Plicha ilisambaa trump amevaa viazi la Ki pope
Na Leo hii Pope ametokea USA
All d best
Pope ROBERT.V.F
Kwa ubaguzi walio nao hawa watu hadi dunia inaisha haitakua na Papa mweusi, labda Papa mweusi atabaki kuwa Papa Mafido na Papaa Wemba
Kwa ubaguzi walio nao hawa watu hadi dunia inaisha haitakua na Papa mweusi, labda Papa mweusi atabaki kuwa Papa Mafido na Papaa Wemba
Unaota. Jomba.Mzee Wabaguzi wa CCM wanakupeleka mpera mpera utawaweza hao wa Vatican?
🤣🤣Siku akiwatetea tu walatino wanaofukuzwa Trump, ushkaji na Trump unaishia hapo...
Na Trump hachelewi kumuita Stupid pope.....
Wakatekumeni mna shida sana. Sisi Walei tunawaangalia tu mnavyo hangaika na mambo yasiyo kuwa na tija. Kwani lazima Papa awe ni mtu mwenye ngozi nyeusi? Au anayetakiwa kuongoza Kanisa Katoliki ni Papa?Katika hali ya kawaida, hivi wewe kwa akili yako uliyonayo ulitarajia kabisa kwamba mtu mweusi kutoka katika bara la Afrika angeweza kuchaguliwa kuwa Papa wa Kanisa Katoliki duniani?? Seriously???
Mimi binafsi niliwahi kueleza bayana hapa mtandaoni kwamba kwa Sasa haupo kabisa uwezekano wa kuweza kuchaguliwa kwa Papa Mwafrika (Mtu Mweusi), completely impossible!