Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Kanisa katoliki linaongozwa na wasomi sana. Pope Benedict alikuwa profesa wa Philosphy, Pope Francis alikuwa Chemist na sasa Pope Leo wa 14 ni Mathematician!
 
Vipi na derby mtacheza au hamchezi....
 
Pole Sana Naona Umekushinda Ustaarabu###NajuaNiSindanoYaMoto###
 
Pole Sana Naona Umekushinda Ustaarabu###NajuaNiSindanoYaMoto###
Acha kulia ,acha kutafuta sababu pambania maisha yako , mengine hayakuhus ..Kama maendeleo fanya yako kwani nan yanamuhus na vivyo hivyo usiingilie imani za wangine unakuwa mjinga.
 
Sasa wewe umejuaje?
Siku chache kabla ya kifo cha papa,Makamu wa Rais wa USA,JD Vance alikua Vatican,fuatilia habari

Hakuna coincidence hapo, mambo hufanywa yatokee
Elites wa hii Dunia wana mipango yao na mtu wanaemtaka awe wanaamua wao
 
Acha kulia ,acha kutafuta sababu pambania maisha yako , mengine hayakuhus ..Kama maendeleo fanya yako kwani nan yanamuhus na vivyo hivyo usiingilie imani za wangine unakuwa mjinga.
Punguza Kisukari Ewe Mkatukumeni....
 
Pietro wa italy ndio atachaguliwa (mtazamo wangu)


Ila ningependa papa atoke ulaya mashariki kule ukrsto upo moyon
Hasa kutoka poland hungary na malita
Bora ungesema papa atokee Tanzania, watu weusi sijui mmerogwa na nani. Mpaka mambo ya imani mnaongozwa na hao wanao support ushoga. shenzi kabsa
 
Hakii huyu papa atajua kunifurahishaaa akitufungisha ndoa jamani 😀😀😀😀😀

Nyieeeee!!! Mbona raha jamanii! 😀😀😀😀😀
Hakika babe. Yaani siku ya kufunga ndoa atatuombea tuwe na nguvu za kutosha za kiume na za kike ili minyanduano yetu iwe ya kiwango cha standard gauge.
 
Maandiko kwenye Biblia yanaonyesha viongozi hawakuchaguliwa bali waliitwa na bwana kwa nyakati tofauti. Hii ya Vatican naona haina tofauti na michakato ya nafasi za kisiasa au ile ya katibu mkuu wa UN.
Tuseme raisi wa Vatican.
 
Siku chache kabla ya kifo cha papa,Makamu wa Rais wa USA,JD Vance alikua Vatican,fuatilia habari

Hakuna coincidence hapo, mambo hufanywa yatokee
Elites wa hii Dunia wana mipango yao na mtu wanaemtaka awe wanaamua wao
Nani kakuambia kuwa papa kafa? Papa yupo Newala huko analima korosho.

Mambo hufanywa yatokee. Papa hajafa.
 
PAPA wa 267 lkn wote Wazungu akuna mweusi akuna china filipino Daaaa sawa Mzungu nimekuelewa!!!!

wao ndio watakatifu wao ndio Mashoga wao ndio wameuwana kwenye Vita kuliko jamiii nyengine uyo ndio ZUNGUUUUU.
 
Ongeleni Wakatoliki wote kupata kiongozi mpya kazi iendelee ya kudumisha Aman.
 
Nunu simu yenye camera nzuri kaka, unamuharibu PAPA na tecno yako
We piddy humjui...ana kusudi sana ,siku hizi Bora anaandika vzr ,zamani utacheka anaunga herufi haweki space wala Nini .anachanganya herufi kubwa na ndogo..Sasa hv kahamia kwenye kamera😁🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…