Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Kanisa limepoteza Imani hivyo wanavuna walichopanda.

Tunasahau hata wimbi la Kwanza hatukulishinda kwa nguvu zetu.

Petro alianza kuzama majini baada ya kupoteza imani.
Logic ni Tatizo kubwa Sana kwa wengi....

Kwahio ukipoteza Imani Unakufa..., wale wanaoamini sana Hawafi....
Wimbi la kwanza liliondoka na walioondoka na hata leo tusipofanya kitu watakaokufa ndio watakufa wengine watabaki (na mbaya zaidi ni wazee wetu ndio wanaondoka zaidi) Sasa sijui hawa wazee ndio watenda dhambi hivyo Mungu anawaondoa ?

Kifo ni invitability (mwisho wa siku mwili ukichoka / ukizeeka utakufa) hata kama una Imani kuliko Musa...., ukileta uzembe au ukiamua ujimwagia acid hapo utaondoka within seconds...
 

Acha kutuchonganisha na viongozi wetu wa kiroho kwa ushirikina wako! Kama ingekuwa swala la Imani.....basi tusingekuwa na hospitali....wala magereza wala kufuata sheria za barabarani...maana Mungu angefanya kila kitu.

Vijana wa siku hizi siasa zimewafukarisha akili.
 
Kuna mtu kakwambia jiachie?

Ninacho mananisha hapa ni watu kama nyie kumlaumu mtu kama vile kawashikia akili au ana dawa kakataa kuwapa, wakati hili ni janga la kimataifa. Na hata huko kwa wenzetu ndio wamekufa wengi zaidi.
Crimea unazungumzia dawa !! . Anayegomea chanjo ni nani ?!
 
Marekani wamekufa watu nusu milioni. Vipi kule nako ukweli ukoje?
Marekani wapo wangapi na idadi yetu tupo wangapi unaona sawa kufananisha huku idadi ya watu mkiwa tofauti wengine hata takwimu hamna kabisa...
 
Yaani hizi ndo think tank za Kijani-Muurumie tu mkuu manake hamna kitu hapo
 
Ee mwenyezi Mungu mtenda miujiza nakuomba unichukulie huyu mwanasiasa anayewadanganya wananchi kuwa hakuna janga huku wanaendelea kufa tu.
Mchukue hata akawe mfagia choo huko.
Amen.
Mungu siyo lisu wala amsterdam...

Na kama ingekuwa hivyo angeshawachukua marais wa dunia nzima maana kote vifo ni malaki kwa malaki
 
Acheni kumpa fursa ya kuhutubia kanisani anaharibu taratibu za kisayansi. Asali aondoke kama waumini wengine
 
Marekani wapo wangapi na idadi yetu tupo wangapi unaona sawa kufananisha huku idadi ya watu mkiwa tofauti wengine hata takwimu hamna kabisa...
Kwa hiyo wewe unavyoona rate ya vifo kule marekani ni sawa na ya hapa kwetu?

Kifo hakifichiki, siyo kwamba hakuna waliokufa, wapo ila si kwa wingi mnaotka kutuaminisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…