Huo uislamu uharibiwe na wao Mara ngapi! Mkuu amkaa kumeshakucha bado tu unakumbuka shuka.Target yao sasa ni kuelekea ndani ya islamic sharia, taratibu na kwa ustadi wa hali ya juu wameanza kuharibu moral islamic culture. Msijione kama mpo salama kwa kushangilia wenzenu kuharibiwa maadili yao. Hao mashetani yamedhamiria kuharibu dunia nzima, halitasalia jiwe hata moja. Sasa nguvu zinaelekezwa kwa waislam
Mm sio muislamu lakini hilo hawatatoboaTarget yao sasa ni kuelekea ndani ya islamic sharia, taratibu na kwa ustadi wa hali ya juu wameanza kuharibu moral islamic culture. Msijione kama mpo salama kwa kushangilia wenzenu kuharibiwa maadili yao. Hao mashetani yamedhamiria kuharibu dunia nzima, halitasalia jiwe hata moja. Sasa nguvu zinaelekezwa kwa waislam
wale ndio wameharibiwa na wanazidi kuharibiwa maadili yao kiulaini hukohuko kwenye nchi vinara wa dini hiyo. Afadhali kuna wakristo wanafahamu nini kinaendelea duniani, wanapoyaona haya hawashangai sana na kuhamaki kwa kuwa ni unabii wa siku za mwisho unatimia. Siku ukristo ukitoweka ulimwenguni hakuna rangi dunia itaacha kuona kutoka kwa mashetani hayoHuo uislamu uharibiwe na wao Mara ngapi! Mkuu amkaa kumeshakucha bado tu unakumbuka shuka.
hata mimi siku wakianza kufingisha ndoa za jinsia moja naacha kusali kanisa hilo. Cha ajabu mpaka sasa kuna habari kwamba zipo dayosisi huko majuu kiongozi wake ni shoga halafu huku afrika bado waumini wa madhehebu hayo wanaenda kusali. Kwa nini wasiache kwenda kusali huko wakati kuna makanisa yenye msimamo mkali juu ya dhambi ya ulawiti?Nasi waafrika tunakosa misimamo eti tutanyimwa misaada.
Tukikubali ujinga huo huko mbele nini tutakataa?
Siku ninakosali wakileta hiyo habari sijui tunawakosea LGBTQ sijui nini, najianzishia kanisa la mtu mmoja.
Tuna madhambi ndiyo, lakini hayo mambo hata yakifutwa katika orodha za dhambi bado akili inagoma.
This is too much!
Kwanini akaisome huko hiyo unayoiita "historia ya kanisa" na si wewe kuiweka hapa?.Kasome historia ya kanisa, kabla ya kuandika hiki.
Crusade wars.Kwanini akaisome huko hiyo unayoiita "historia ya kanisa" na si wewe kuiweka hapa?.
weka hiyo Histora ya kanisa ya kusapoti mauaji ili iwe manufaa kwa wengi.
Unafanya upuuzi wa kitoto wa kuutumia uislamu na Koran kama rejea ya ukristo na biblia.Papa anajaribu kuneutralize dhambi, hizi dhambi zingine zimekuwa dhambi za kawaida, anataka pia tuongeze dhambi ya ushoga nayo iwe kama dhambi ya ulevi, kusema uongo na kuzini..
Adhabu ya mzinzi, mwizi nk kwenye Islamic sharia iko wazi tu, tena zingefuatwa watu tungeziogopa, tumezineutralize na kufanya ni normal life style matokeo yake zimetudhidi kiasi tunabaki tunawayawaya tu.. kuna mambo hayahitaji normalization bali yanahitaji ukali na roho mbaya kama kukemea ufisadi, wizi na uzembe kwa Mtanzania.
Hii ndiyo unaiita history ya kanisa na hata uwatake members wakaisome nje ya Jf?.Crusade wars.
Ulitaka niandike historia yote ya Crussade kwenye section ya comment ?Hii ndiyo unaiita history ya kanisa na hata uwatake members wakaisome nje ya Jf?.
Umepata wapi uthubutu wa kuandika neno "crusade war" hapa Jf ilhali unawataka wengine wakaisome na kuiandika hiyo sentensi nje ya Jf?.
Kwa ufahamu crusade ilikuwa ni kusapoti mauaji?.
Bure kabisa.
Ulitaka, ulitaka nini? Unataka kuashumu nini hasa? Una assume tu na kuandika na then unataka watu wakupe umakini wao kwa mambo yako ya kuashumu.Ulitaka niandike historia yote ya Crussade kwenye section ya comment ?
By the way umesoma tulipo anzia na huyo mdau ?
Sina ushahidi kuwa kanisa chini ya papal urban II lili amrisha crusade war ?Ulitaka, ulitaka nini? Unataka kuashumu nini hasa? Una assume tu na kuandika na then unataka watu wakupe umakini wao kwa mambo yako ya kuashumu.
Lete ushahidi wa kanisa kusapoti mauaji. Crusade War ilikuwa ni "RETALIATION" habari ya kusapoti itolee ushahidi wewe na ninajua huna ushahidi ila usema hovyo wako ndiyo umekufanya uropoke kwa kitu usichokuwa nacho ushahidi.
Abadan. Hii ni Dini iliyohifadhiwa.Target yao sasa ni kuelekea ndani ya islamic sharia, taratibu na kwa ustadi wa hali ya juu wameanza kuharibu moral islamic culture. Msijione kama mpo salama kwa kushangilia wenzenu kuharibiwa maadili yao. Hao mashetani yamedhamiria kuharibu dunia nzima, halitasalia jiwe hata moja. Sasa nguvu zinaelekezwa kwa waislam
Hii ni lugha ya uwani maana yake anasapoti ushoga.Sijasema papa amebariki nimesema Papa alivyoshauri,Soma uelewe, Papa alishauri kanisa lifungue milango kwa mashoga kwani wote ni watoto wa Mungu