Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

Sijasema papa amebariki nimesema Papa alivyoshauri,Soma uelewe, Papa alishauri kanisa lifungue milango kwa mashoga kwani wote ni watoto wa Mungu
Wewe ndio hujaelewa! Watu wote milango iko wazi bila kujali dhambi zako. Kama lipo Kanisa linalokataza wadhambi wa aina fulani basi hao hawahubiri injili.

Usichoelewa ni wewe kufikiri kwamba Papa ameshauri mfano Kanisa kutambua ndoa zao! Hilo haiwezekani na Papa alishasema mara nyingi hilo Kikanisa haiwezekani.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Makasiriko ya nini mana wao ndio walioleta hiyo dini,waafrika wamebaki kuwa mazombie tu,soon kurani nayo itatoa muongozo uelekeo wa lgbtq
 
Wewe ndio hujaelewa! Watu wote milango iko wazi bila kujali dhambi zako. Kama lipo Kanisa linalokataza wadhambi wa aina fulani basi hao hawahubiri injili.

Usichoelewa ni wewe kufikiri kwamba Papa ameshauri mfano Kanisa kutambua ndoa zao! Hilo haiwezekani na Papa alishasema mara nyingi hilo Kikanisa haiwezekani.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Bro mbona inahangaika Kama unatafuta g spot!!?..
 
Roman Catholic inapigwa vita na wayahudi,walokole,kkkt,wasabato,waislam,nk lakini bado kanisa lipo imara !.kweli nguvu ya Mungu ipo Roman Catholic.
Kkkt sabato hawa ni wakiristo wenzenu nyote imani yenu 1 yesu Mungu mkuu
 
Ndiyo hivyo wakuu,kwa mujibu wa DW kanisa limefungua milango kwa ushoga,Kama alivyoshauri Papa juzi hapa
Hivi majuzi alisema ushoga;
Ni dhambi ila si jinai
si dhambi ila ni jinai
Si dhambi na si jinai
Ni dhambi na ni jinai.
Jibu alilotoa ni lipi?
Na msingi wa kauli yake ni nini?
 
Hivi majuzi alisema ushoga;
Ni dhambi ila si jinai
si dhambi ila ni jinai
Si dhambi na si jinai
Ni dhambi na ni jinai.
Jibu alilotoa ni lipi?
Na msingi wa kauli yake ni nini?
Nimejibu maswali mengi Sana kwenye maisha yangu,Sina time ya kujibu maswali ya kiwaki
 
Sijasema papa amebariki nimesema Papa alivyoshauri,Soma uelewe, Papa alishauri kanisa lifungue milango kwa mashoga kwani wote ni watoto wa Mungu
Mkuu PAPA alishamaliza kila kitu Roman Catholic haina noma na ushoga
 
Back
Top Bottom