Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

Kama kanisa kubwa ulimwenguni likiamua kufungisha ndoa za jinsia moja sipati picha kanisa la tanzania kufuata utaratibu huo wa kanisa kuu. Muafrika wa tanzania huko kijijini ndani anafunga ndoa ya jinsia mmoja hayo yatakuwa ni maajabu makubwa.
 
Japo Baba Mtakatifu Francisco simuelewi, ila ninaamini Kanisa Katoliki kamwe haliwezi kuunga mkono dhambi.
 
Ndiyo hivyo wakuu,kwa mujibu wa DW kanisa limefungua milango kwa ushoga,Kama alivyoshauri Papa juzi hapa
Weka source, acha uzushi; hakuwahi kushauri hivyo.., na aliweka wazi hii ni dhambi mbaya sana, sasa watabariki vipi dhambi?
 
Roman Catholic, Lutheran, Anglican ni makanisa ya ulaya magharibi Afrika hawana haki yoyote zaidi ya kufuata tu order toka makao makuu.

Kama hawataki order warudi kwenye dini zao za kale au waanzishe mafundisho yao.
makanisa yatakayolazimika kufuata kilichoanzishwa na makao makuu vatican, cantebury na huko kwingine ndio wataumia. Hawa wengine wa hapa hapa tanzania wanaweza kubaki salama labda kama wana wafadhili na wahisani huko ulaya na amerika wanaounga mkono ndoa za jinsia moja wamekwisha. Sisi waumini tukiona makanisa yetu ya kitanzania nayo yakianza kufungisha ndoa hizo itabidi tuyaache tuanzishe imani nyingine mpya
 
Upo sahihi.

Lakini kusema kuwa haya makanisa makubwa ya ulaya magharibi yatakuwa tofauti na matawi yake ya hapa Africa ni jambo lisilo wezekana.
 
Japo Baba Mtakatifu Francisco simuelewi, ila ninaamini Kanisa Katoliki kamwe haliwezi kuunga mkono dhambi.
Kama liliunga mkono mauaji miaka ya kale ni kipi cha ajabu sasa.
 
Ndiyo hivyo wakuu,kwa mujibu wa DW kanisa limefungua milango kwa ushoga,Kama alivyoshauri Papa juzi hapa
Ndio maana ata shule ulifeli. Papa alisema lini na wapi? Takataka kweli wewe
 
Back
Top Bottom