Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

Sogeza facilities za kutuaminisha kuwa ni DW. Huko DW habari ni nyingi

Huwezi kuandika kitu alfu ukasema reference ni google: Be specific
Babu sifanyi hiyo kazi,Kama huiamini hii habari siyo tatizo langu
 
Unasemaje kuhusu ushoga??
Ushoga ni dhambi mbaya sana, kanisa ndio linamsimamo mkali dhidi ya ushoga na kutoa mimba. Papa Francis hawezi kuruhusu wala kubadili maana ya dhambi. Alafu alisema wale ni binadamu pia lakini hakusema ushoga ni sahihi. Muwe mnasoma vizuri.
 
Hujaelewa nini,mbona ipo clear
Tunaenda Ujerumani kote huko wakati hapa kwetu tu Zanzibar yapo ya kutosha. Tunakuwa wanafiki, kwamba tunawashangaa Wajerumani wakati Visiwani wapo weusi wanayafanya na hatushangai
 
Haya makanisa makubwa ya ulaya na amerika kama yanafungisha ndoa za mashoga yasiburuze makanisa ya afrika kufanya uchafu huo. Bora makanisa ya afrika yajitenge nao, yabaki na msimamo wa biblia kuhusu ulawiti/ufiraji kama ilivyoandikwa
Katiba iliyoanzisha makanisa hayo zinaruhusu kujitenga?
 
Ndiyo hivyo wakuu,kwa mujibu wa DW kanisa limefungua milango kwa ushoga,Kama alivyoshauri Papa juzi hapa
Kanisa Katoliki liko tofauti na madhehebu mengine yote unayoyajua,hakuna Katoliki ujerumani,Uingereza au Tanzania au Kenya .Kanisa ni moja tu,Kuna majimbo ambyo kiongozi wake ni Askofu wa Jimbo hata huko ujerumani uliko sema Kuna majimbo yaliyochini ya maaskofu na hawaingiliani mamlaka.Hakuna mkutano wa maaskofu ujerumani uliokaa na kubariki ulichosema.Hivyo hizo ni porojo,matendo ya mtu mmoja hata kama ni Askofu yatabaki kuwa ni persona na sio Kanisa.

Kuna wakati watu wanachanganya wanaposikia Rais wa maaskofu wanafikili ni kiongozi wa kanisa Katoliki Tanzania,kama ambavyo watu walichanganya Cheo cha ukardinali kwa kudhani ni kiongozi mkuu.La hasa hivyo ni vyeo visivyo na mamlaka kijimbo Bali vina maendo yake ya kutumika tu.
 
Roman Catholic, Lutheran, Anglican ni makanisa ya ulaya magharibi Afrika hawana haki yoyote zaidi ya kufuata tu order toka makao makuu.

Kama hawataki order warudi kwenye dini zao za kale au waanzishe mafundisho yao.
Kulikuwapo kanisa moja tu Katoliki la mitume,ikaja Othordox pacha wa Roman Catholic,aliyezaliwa kutokana itikadi za siasa tu,baada ya Karne kadhaa ndio wakazaliwa Lutherani na Anglican na Sasa wako wakristo wenye madhehebu na wasio na madhehebu nao wamesambaa duniani kote.Kanisa litabaki moja tu Catholic la mitume.
 
Kulikuwapo kanisa moja tu Katoliki la mitume,ikaja Othordox pacha wa Roman Catholic,aliyezaliwa kutokana itikadi za siasa tu,baada ya Karne kadhaa ndio wakazaliwa Rutherani na Anglican na Sasa wako wakristo wenye madhehebu na wasio na madhehebu nao wamesambaa duniani kote.Kanisa litabaki moja tu Catholic la mitume.
Unafanya kampeni au ?
 
Kanisa Katoliki liko tofauti na madhehebu mengine yote unayoyajua,hakuna Katoliki ujerumani,Uingereza au Tanzania au Kenya .Kanisa ni moja tu,Kuna majimbo ambyo kiongozi wake ni Askofu wa Jimbo hata huko ujerumani uliko sema Kuna majimbo yaliyochini ya maaskofu na hawaingiliani mamlaka.Hakuna mkutano wa maaskofu ujerumani uliokaa na kubariki ulichosema.Hivyo hizo ni porojo,matendo ya mtu mmoja hata kama ni Askofu yatabaki kuwa ni persona na sio Kanisa.

Kuna wakati watu wanachanganya wanaposikia Rais wa maaskofu wanafikili ni kiongozi wa kanisa Katoliki Tanzania,kama ambavyo watu walichanganya Cheo cha ukardinali kwa kudhani ni kiongozi mkuu.La hasa hivyo ni vyeo visivyo na mamlaka kijimbo Bali vina maendo yake ya kutumika tu.
Ungetafuta walau mtandaoni hiyo habari ili ujiepushe na aibu ziso msingi, nimesema kanisa katoliki ujerumani kwa kuwa wamepiga kura kuamua Hilo Jambo ujerumani kote,nikaweka na source DW
 
Tunaenda Ujerumani kote huko wakati hapa kwetu tu Zanzibar yapo ya kutosha. Tunakuwa wanafiki, kwamba tunawashangaa Wajerumani wakati Visiwani wapo weusi wanayafanya na hatushangai
Na hapo bado hayo mambo hayajaruhusiwa; nadhani yakiruhusiwa watu watakuwa wakiyafanya barabarani...sio tena kwenye magari kama yule Jamaa.
 
Ngoja nikae pembeni niwe msomaji wa maoni ya wahafidhina...
 
Ikiwa hivyo kweli Mimi nitarudi kwenye dini yetu ya asili Kama kupanda kwenda kusali mlimani,msituni au mtini nitaenda kikubwa nilichoomba kiende sawa sawa Mungu Ni yule yule hizi tofauti za majina zisitutishe Sana Ni sawa tu na majina ya binadamu mwingine anitwa juma ,mwingine Ali na mwingine Zena lakini wote Ni wanadamu .Hawa waliokuja kuvuruga utaratibu wa Imani zetu bado wanataka kuja kuvuruga mwelekeo wa kizazi chetu tuwe macho kuokoa hili janga.
 
Back
Top Bottom