ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Okay kumbe na sie tupige marufuku habari hizi kusambaza na kuziripoti itasaidia sana.Nchini Russia wameshatoka kwenye ishu hizi za kuripoti habari za mashoga badala yake wamepiga marufuku kuchapisha,kuongelea na kutuma picha zao