Kanisa la Tanzania linapitia kipindi kigumu sana. Mungu alinusuru

Nikuulize maswali mawili:

1. Unajua ada za shule za RC no sh.ngapi? Una mtoto au ndugu umewahi kumsomesha kwenye hizo shule? Ulilipa sh.ngapi? Ada+michango.

2. Umewahi kutibiwa bure kwenye hospitali za RC mfano Bugando au Tosamaganga Hospital au Peramiho??? Au umewahi kuuguza ndugu yako kwenye hizo hospitali bure?
Upate huduma bure kivipi? Ebu eleza jinsi utakavyoziendesha hizo taasisi ulizotolea mfano watu wakinufaika na huduma bure.
 
Umedandia treni kwa mbele, kuna MTU nilikuwa namjibu na kumuuliza hayo maswali sio wewe! Anadai sadaka RC zinatumika kujenga mashule na hospitali
 
Yesu alikuja kutuokoa na dhambi na SI kuhukumu,hivyo huduma ya kikanisa ni ya Kila mtu bila kuhukumu.kumtenga mtu tena akiwa mfu SI sawa,yesu alitufundishe tusilipize .
Kwamba mtu hataki habari za kanisa, hataki kusali na wenzake Wala kushirkiana nao sasa akifa mkienda kumzika kwa Kufuata taratibu za kanisa simtakua mnamkosea Marehemu.

Marehemu anaamua kwa matendo yake kutoshiriki mambo ya kanisa hata kama alibatizwa zamani huenda moyoni mwake ameamua hayo yakanisa hayamuhusu au alihamia Imani zingine.

Kwenda kung'ang'ania kumzika haitasaidia chochote, waumini wataenda kama raia wengine kijamii lakini kiimani yanafuatwa maamuzi ya Marehemu akiwa hai.
 
Dini sio Mungu, tuwe makini sana na dini hizi, ni business as usual. Ni hela helaaa helaaaa kwa jina la sadaka, tengeneza jimbo, sijui majitoleo, sijui michango mahubiri 90% ni hela hela tu, akina Mwaposa etc wao wanakusanya hela tu, biashara imekuwa wazi.

Tuwe makini, Dini sio Mungu.. Na Mungu kupitia vitabu vyake vitakatifu vyote hajawahi kukusanya hela hivi, hivyo ni wakati wa sisi wanadamu kuwa macho na hawa wanyonyaji, wanatutia umaskini huku wao wakineemeka na kula na kusaza kupitia dini hizi.

Dini sio Mungu, tuangaze macho yetu mbali.
 
Hizi ndio changamoto za kanisa LA Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu.

1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa.

2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache dhambi, pia hawataki kufungua matawi mikoani na kupanda makanisa.

3.RC nao wamechachamaa kwa michango kuanzia kwenye jumuiya hadi Parokiani. Huna hela huzikwi.

4. Mwakasege naye amechachamaa na masomo ya sadaka mwanzo mwisho, mfano semina ya Mbeya (26-30 Oct, 2022) somo ni sadaka tu hakuna kingine.

5. KKKT nao hawaeleweki wachungaji wanaowaiga wapentekosti/walokole ndio wanapata umaarufu mfano Kimaro na Mgogo wale wanaohubiri kilutheriluther hawana chao wala umaarufu.

6. TAG/EAGT hawana wainjilisti wakitaifa kama kina Moses Kulola wamebakia wapigaji tu.

7.Viongozi was dini kugombania mialiko sherehe za kitaifa ili wakalambe asali no aibu.

INAUMA SANA
Mkuu mengine siwezi kuzungumzia..ila suala la sadaka sio option...Watu wanachoma milions kidimbwi + matumizi ya hovyo kwenye sherehe kama bday alafu akiskia kuhusu mchango au sadaka tu hata kutoa 10000 anahisi kama anapigwa..Mahusiano na Mungu sio rahisi kihivyo lazima uinvest..after all ni maamuzi yako pia...Kumtolea Mungu sadaka mtu hataki,kusaidia ndugu,marafiki,familia na wengine ambao ana uwezo wa kusaidia hataki pia sasa mtu huyo anakaa kundi lipi?
Watu wako tayari kuchoma pesa zao kwa mambo ya kidunia lakini hawataki kumrudishia Mungu shukrani na haohao wanategemea Mungu atende miujiza kwenye maisha yao..Its Not Fair at All.
 
Unaambiwa

Petro alikua mvuvi

Paulo alikua mjenga turubai

Yesu alikua Fundi Selemara

Sasa km Mchungaji/Padri/Paroko wako hana kazi yoyote inayomuingizia kipato tofauti na Sadaka za kanisa lenu na michango ya ku-force kwenye Jumuiya kila Jumamosi au Jumatano ili yeye anehemeke elewa kwamba huyo hana tofauti na MWIZI

Nitarudi tena...
 
So what?
 
Bora utoe sadaka kuliko kununua bando la 5000 kufatilia UMBEA insta na fb
Sadaka siyo lazima uitoe kanisani, hasa haya makanisa ya mwendokasi ya mabati lakini viongozi wake wamatembelea ma vogue. Si mnanuona Malisa kule Facebook anavyosaidia wenye shida? Mfano nipo Mpanda wiki hii kuna kanisa nadhani ni RC, yaani hizo infrastructures walizojenga ni balaa :Kanisa kubwa, hospital kubwa, shule and many other things.. Hawa wako serious kusaidia jamii kiimani na pia kwenye huduma za jamii.
 
Mkuu mengine siwezi kuzungumzia..ila suala la sadaka sio option...Watu wanachoma milions kidimbwi + matumizi ya hovyo kwenye sherehe kama bday alafu akiskia kuhusu mchango au sadaka tu hata kutoa 10000 anahisi kama anapigwa..Mahusiano na Mungu sio rahisi kihivyo lazima uinvest..after all ni maamuzi yako pia...Kumtolea Mungu sadaka mtu hataki,kusaidia ndugu,marafiki,familia na wengine ambao ana uwezo wa kusaidia hataki pia sasa mtu huyo anakaa kundi lipi?
Watu wako tayari kuchoma pesa zao kwa mambo ya kidunia lakini hawataki kumrudishia Mungu shukrani na haohao wanategemea Mungu atende miujiza kwenye maisha yao..Its Not Fair at All.
SADAKA NI LAZIMA PIA IENDANE NA INJILI YA KWELI YA KUFA, KUZIKWA NA KUFUFUKA KWA YESU KRISTO.

UNAPOKEA SADAKA HALAFU HUKEMEI DHAMBI WALA HUWAAMBII WATU UKWELI WA INJILI UNATAKA KUWAPELEKA JEHANAMU?

SADAKA IENDANE NA INJILI YA KWELI SIO UJANJA UJANJA.
 
Narudia

Unaambiwa

Petro alikua mvuvi

Paulo alikua mjenga turubai

Yesu alikua Fundi Selemara

Sasa km Mchungaji/Padri/Paroko wako hana kazi yoyote inayomuingizia kipato tofauti na Sadaka za kanisa lenu na michango ya ku-force kwenye Jumuiya kila Jumamosi au Jumatano ili yeye anehemeke elewa kwamba huyo hana tofauti na MWIZI

Nitarudia tena...
 
Mwakasege ukikurupuka kumsikiliza utatoka patupu, anafundisha vitu vya ndani sana. Mtoa uzi umesikiliza tu semina ya mbeya, alizofanya dar, njombe, moshi, arusha na nyingine kibao alifundisha tu "sadaka" mkuu!

Kwa waumini wa mila, mizimu na wanaoenda kwa kalmanzila kufanyiwa therapy wanaelewa vizuri maana ya sadaka. Mwakasege anakufundisha namna ya kuambatanisha moyo wako na sadaka yako, siyo kutoa tu...kutoa ni agizo na kuna maelekezo jinsi ya kutoa.

TAG/EAGT/PAG waache kujihesabia haki kuwa ni watakatifu, wameacha kukemea dhambi kama ilivyokuwa zamani wanajiita watakatifu, kanisani kumejaa wasengenyaji, watoa hukumu, wazinzi wa kujificha.
 
Narudia tena

Unaambiwa

Petro alikua mvuvi

Paulo alikua mjenga turubai

Yesu alikua Fundi Selemara

Sasa km Mchungaji/Padri/Paroko wako hana kazi yoyote inayomuingizia kipato tofauti na Sadaka za kanisa lenu na michango ya ku-force kwenye Jumuiya kila Jumamosi au Jumatano ili yeye anehemeke elewa kwamba huyo hana tofauti na MWIZI

Nitarudia tena...
 
Hizi ndio changamoto za kanisa LA Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu.

1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa.

2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache dhambi, pia hawataki kufungua matawi mikoani na kupanda makanisa.

3.RC nao wamechachamaa kwa michango kuanzia kwenye jumuiya hadi Parokiani. Huna hela huzikwi.

4. Mwakasege naye amechachamaa na masomo ya sadaka mwanzo mwisho, mfano semina ya Mbeya (26-30 Oct, 2022) somo ni sadaka tu hakuna kingine.

5. KKKT nao hawaeleweki wachungaji wanaowaiga wapentekosti/walokole ndio wanapata umaarufu mfano Kimaro na Mgogo wale wanaohubiri kilutheriluther hawana chao wala umaarufu.

6. TAG/EAGT hawana wainjilisti wakitaifa kama kina Moses Kulola wamebakia wapigaji tu.

7.Viongozi was dini kugombania mialiko sherehe za kitaifa ili wakalambe asali no aibu.

INAUMA SANA
Siku ukielewa Kanisa ni nini utaacha utaacha kufananisha wana wa ufalme na haya magenge ya wapigaji. Soma maandiko nawe utaishi.
 
Mwakasege naye amechachamaa na masomo ya sadaka mwanzo mwisho, mfano semina ya Mbeya (26-30 Oct, 2022) somo ni sadaka tu hakuna kingine.
Sadaka ni ibada pia, nadhani comrade unatambua hili......

Kama madhabahu za giza zinathamini sadaka, kwanini kuhubiri kuhusu sadaka kwa madhabahu ya Mungu iwe kosa?
 
Hiyo namba 3, waumini tuko imara sana. Maana michango yote tunayochanga ni kwa ajili ya kulitegemeza Kanisa la Mungu.

Halafu ifikie wakati tuwe wakweli! Hakuna binadamu asiyeishi katika Jumuiya! Sasa kama wewe jumuiya yako ni ya wavuta bangi, inakuwaje tena unataka uzikwe na jumuiya nyingine?
Tatizo huna takwimu, ungekuwa nazo ungelia
 
Back
Top Bottom