Na bado huo ni mwanzo tu, [emoji23][emoji23]
Tukiwaambia kuwa mwisho wa dini zote umekaribia mnapinga, itafika wakati hizi imani za watu weupe zitakuwa kwenye nakala za historia na hadithi za kuchekesha maana watu wanazidi kuamka kiakili, uku wale waliokuwa wakishika hizo dini(wachungaj&wafuasi) kuwa chanzo cha maovu.
Angalia hata dalili zinaonesha wazi,
Anguko la dini linaambatana na maovu kuongezeka ndan ya hizo dini, ubakaji, ulawiti, uuwaji, wizi wa pesa, rushwa, mitengano na mifarakano ya wao kwa wao mfano mifarakano hata kwa wanaojiita wakristo kwa wakristo, waislam kwa waislam, na hawa wote watakuja kusalenda kwa wanaemuita mpagani, maana mpagani ndiye mwenye unafuu kimaadili na kitabia[emoji23].
Mwisho wa hizi dini pia utaambatana na wafuasi kupungua ktk nyumba za ibada, huku watu wakijari zaidi Nguvu za upako kulko mafundsho, jambo litakalopelekea madhehebu yenye asili ya ukatoric na ulutheri kupungukiwa waumini na madhehebu ya kilokole kupata wafuasi wengi, na wafuasi hawa wakishamalizana na miujiza pia watazikimbia hizi iman na kubaki vuguvugu ama wapagan kama mnavyowaita.
Itafika wakati viongozi wa makanisa watailaumu serikali ipambane na kuibuka kwa manabii&makongamano&mikutano ya wana upako wanaoiba waumini makanisan sabbu ya miujiza,[emoji23].
Viongoz wa madhehebu watafanya vikao kunusuru hili jambo lkn hawataweza[emoji23].
Bila kusahau ongezeko la vijana wasiojari mambo ya dini na kuhoji undani wa dini, hilo ndilo litazimaliza hizi dini mazima, maana hawa vijana wakizipuuza dini unadhani watoto wa hawa vijana watafuata lipi?, [emoji23][emoji23] muda si mrefu haya yatatokea amini usiamin, na baada ya Kifo cha dini, UFAHAMU MPYA wa watu utainuka ndipo ule mwisho utafika, na mwisho wenyewe ndio ile hukumu ya maovu na haki iliyofichwa na hao wana dini wa uongo