Yesu alikuja kutuokoa na dhambi na SI kuhukumu,hivyo huduma ya kikanisa ni ya Kila mtu bila kuhukumu.kumtenga mtu tena akiwa mfu SI sawa,yesu alitufundishe tusilipize .Kwa kweli amekosea kwenye namba 3 eti huna hela huzikwi ??
Ni kuwa kama umejitenga na shughuli za kanisa nao wanakutenga huduma za kanisa
Upate huduma bure kivipi? Ebu eleza jinsi utakavyoziendesha hizo taasisi ulizotolea mfano watu wakinufaika na huduma bure.Nikuulize maswali mawili:
1. Unajua ada za shule za RC no sh.ngapi? Una mtoto au ndugu umewahi kumsomesha kwenye hizo shule? Ulilipa sh.ngapi? Ada+michango.
2. Umewahi kutibiwa bure kwenye hospitali za RC mfano Bugando au Tosamaganga Hospital au Peramiho??? Au umewahi kuuguza ndugu yako kwenye hizo hospitali bure?
Umedandia treni kwa mbele, kuna MTU nilikuwa namjibu na kumuuliza hayo maswali sio wewe! Anadai sadaka RC zinatumika kujenga mashule na hospitaliUpate huduma bure kivipi? Ebu eleza jinsi utakavyoziendesha hizo taasisi ulizotolea mfano watu wakinufaika na huduma bure.
Kwamba mtu hataki habari za kanisa, hataki kusali na wenzake Wala kushirkiana nao sasa akifa mkienda kumzika kwa Kufuata taratibu za kanisa simtakua mnamkosea Marehemu.Yesu alikuja kutuokoa na dhambi na SI kuhukumu,hivyo huduma ya kikanisa ni ya Kila mtu bila kuhukumu.kumtenga mtu tena akiwa mfu SI sawa,yesu alitufundishe tusilipize .
Mkuu mengine siwezi kuzungumzia..ila suala la sadaka sio option...Watu wanachoma milions kidimbwi + matumizi ya hovyo kwenye sherehe kama bday alafu akiskia kuhusu mchango au sadaka tu hata kutoa 10000 anahisi kama anapigwa..Mahusiano na Mungu sio rahisi kihivyo lazima uinvest..after all ni maamuzi yako pia...Kumtolea Mungu sadaka mtu hataki,kusaidia ndugu,marafiki,familia na wengine ambao ana uwezo wa kusaidia hataki pia sasa mtu huyo anakaa kundi lipi?Hizi ndio changamoto za kanisa LA Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu.
1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa.
2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache dhambi, pia hawataki kufungua matawi mikoani na kupanda makanisa.
3.RC nao wamechachamaa kwa michango kuanzia kwenye jumuiya hadi Parokiani. Huna hela huzikwi.
4. Mwakasege naye amechachamaa na masomo ya sadaka mwanzo mwisho, mfano semina ya Mbeya (26-30 Oct, 2022) somo ni sadaka tu hakuna kingine.
5. KKKT nao hawaeleweki wachungaji wanaowaiga wapentekosti/walokole ndio wanapata umaarufu mfano Kimaro na Mgogo wale wanaohubiri kilutheriluther hawana chao wala umaarufu.
6. TAG/EAGT hawana wainjilisti wakitaifa kama kina Moses Kulola wamebakia wapigaji tu.
7.Viongozi was dini kugombania mialiko sherehe za kitaifa ili wakalambe asali no aibu.
INAUMA SANA
So what?Hizi ndio changamoto za kanisa LA Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu.

Sadaka siyo lazima uitoe kanisani, hasa haya makanisa ya mwendokasi ya mabati lakini viongozi wake wamatembelea ma vogue. Si mnanuona Malisa kule Facebook anavyosaidia wenye shida? Mfano nipo Mpanda wiki hii kuna kanisa nadhani ni RC, yaani hizo infrastructures walizojenga ni balaa :Kanisa kubwa, hospital kubwa, shule and many other things.. Hawa wako serious kusaidia jamii kiimani na pia kwenye huduma za jamii.Bora utoe sadaka kuliko kununua bando la 5000 kufatilia UMBEA insta na fb
SADAKA NI LAZIMA PIA IENDANE NA INJILI YA KWELI YA KUFA, KUZIKWA NA KUFUFUKA KWA YESU KRISTO.Mkuu mengine siwezi kuzungumzia..ila suala la sadaka sio option...Watu wanachoma milions kidimbwi + matumizi ya hovyo kwenye sherehe kama bday alafu akiskia kuhusu mchango au sadaka tu hata kutoa 10000 anahisi kama anapigwa..Mahusiano na Mungu sio rahisi kihivyo lazima uinvest..after all ni maamuzi yako pia...Kumtolea Mungu sadaka mtu hataki,kusaidia ndugu,marafiki,familia na wengine ambao ana uwezo wa kusaidia hataki pia sasa mtu huyo anakaa kundi lipi?
Watu wako tayari kuchoma pesa zao kwa mambo ya kidunia lakini hawataki kumrudishia Mungu shukrani na haohao wanategemea Mungu atende miujiza kwenye maisha yao..Its Not Fair at All.
Amina mtumishiYesu aliuliza je atakapo Rudi ataikuta Imani?
Watu wote tunao muamini KRISTO tuamke.. Bwana yupo njiani anakuja.. alikute kabisa lake likiwe tayari kumlaki.. tusiipende Dunia na mambo yake ..
Siku ukielewa Kanisa ni nini utaacha utaacha kufananisha wana wa ufalme na haya magenge ya wapigaji. Soma maandiko nawe utaishi.Hizi ndio changamoto za kanisa LA Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu.
1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa.
2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache dhambi, pia hawataki kufungua matawi mikoani na kupanda makanisa.
3.RC nao wamechachamaa kwa michango kuanzia kwenye jumuiya hadi Parokiani. Huna hela huzikwi.
4. Mwakasege naye amechachamaa na masomo ya sadaka mwanzo mwisho, mfano semina ya Mbeya (26-30 Oct, 2022) somo ni sadaka tu hakuna kingine.
5. KKKT nao hawaeleweki wachungaji wanaowaiga wapentekosti/walokole ndio wanapata umaarufu mfano Kimaro na Mgogo wale wanaohubiri kilutheriluther hawana chao wala umaarufu.
6. TAG/EAGT hawana wainjilisti wakitaifa kama kina Moses Kulola wamebakia wapigaji tu.
7.Viongozi was dini kugombania mialiko sherehe za kitaifa ili wakalambe asali no aibu.
INAUMA SANA
Sadaka ni ibada pia, nadhani comrade unatambua hili......Mwakasege naye amechachamaa na masomo ya sadaka mwanzo mwisho, mfano semina ya Mbeya (26-30 Oct, 2022) somo ni sadaka tu hakuna kingine.
Fafanua kidogo mwana wa ufalme.Siku ukielewa Kanisa ni nini utaacha utaacha kufananisha wana wa ufalme na haya magenge ya wapigaji. Soma maandiko nawe utaishi.
Tatizo huna takwimu, ungekuwa nazo ungeliaHiyo namba 3, waumini tuko imara sana. Maana michango yote tunayochanga ni kwa ajili ya kulitegemeza Kanisa la Mungu.
Halafu ifikie wakati tuwe wakweli! Hakuna binadamu asiyeishi katika Jumuiya! Sasa kama wewe jumuiya yako ni ya wavuta bangi, inakuwaje tena unataka uzikwe na jumuiya nyingine?